Siku nyota aina ya jupiter na Saturn zikitoa energy basi barafu kwenye sayari ya neptune, uranus na pluto zitaondoka

Wewe ndo mana kuna jamaa kule alitaka akupige...
Watu wapo serious we unaanza kutuchekesha hapa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wewe ndo mana kuna jamaa kule alitaka akupige...
Watu wapo serious we unaanza kutuchekesha hapa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Jamaa kwa nyakati tofauti tofauti amekuja akiweka thread za kusadikika mambo yaliyo kwenye DHAHANIA🀣🀣

YAAN akiendelea na haya MAANDIKO ifanyike jitihada za kimakusudi aunganishwe na WATU wa NASA ama ikiwezekana aunganishwe na SPACE X ikishindikana Mimi najitolea kwenda UBALOZI WA MAREKANI HAPA NYUMBANI TANZANIA.😊☺️
 
Daaah ila kuna watu wakorofi sana aiseee..
Mwacheni mwanasayansi bana mbona mnazingua hvo wakuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Jamaa ana kitu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Wa bongo jau sana..
Fanyeni mumpumzishe mwamba bana mbona anatoa madini
Akifaulu huu mtihani na misukosuko yoteee bila kukimbia jukwaa atakua mtu mmoja imara Sana. Alikosa uvumilivu atakimbia kama yule DALALI maana alipigwa na kila mtu mpaka AKAOMBA Jf wadelete account yake.

Huyu RAIS wetu ajaye .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…