Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
We jamaa una utani wa ngumi..π€£π€£π€£π€£π€£ uzuri wa Mr president ana busara yeye hata ukimtukana atakujibu tu. "hii mada ipo juu ya uelewa wako"
Unajiona umeongea point kwani swala la kuugua hata wewe unaweza ugua hata sahiviWe jamaa una utani wa ngumu..
Ndo useme mwenzako aliugua kipindi kirefu alafu akapona... ππππ
Kuna sisi wanafunzi wa astronomy tunafatilia huu mtanange mkuu naomba muwe watulivu acheni maneno ya kufanya mtu awake awe mbogo jamni ππππAkifaulu huu mtihani na misukosuko yoteee bila kukimbia jukwaa atakua mtu mmoja imara Sana. Alikosa uvumilivu atakimbia kama yule DALALI maana alipigwa na kila mtu mpaka AKAOMBA Jf wadelete account yake.
Huyu RAIS wetu ajaye .
Mkuu sio mimi.. nimenukuu kwa jamaa ..Unajiona umeongea point kwani swala la kuugua hata wewe unaweza ugua hata sahivi
Hapo sijatania mkuu nimetoa maoni yangu kwa kile ninachokiona katika uongeaji wake, wewe .tazame kwa umakini tu. Inaonesha yupo mwenyewe tu sehemu ambayo anajirekodi lakini ana wasiwasi sana na pia anaharaka/hana utulivu kwenye kuongea kana kwamba ameshikiwa silaha nyuma ya kamera.We jamaa una utani wa ngumi..
Ndo useme mwenzako aliugua kipindi kirefu alafu akapona... ππππ
Hatareee na nusuuHapo sijatania mkuu nimetoa maoni yangu kwa kile ninachokiona katika uongeaji wake, wewe .tazame kwa umakini tu. Inaonesha yupo mwenyewe tu sehemu ambayo anajirekodi lakini ana wasiwasi sana na pia anaharaka/hana utulivu kwenye kuongea kana kwamba ameshikiwa silaha nyuma ya kamera.
Kuna dogo huku mtaani maralia ya kupanda ilimpiga vibaya. Ikawa kila akikaa mahali dakika kadhaa anamwita baba yake aje amwokoe akidai anawaona wamasai wanataka kumchoma mikuki.
Jamaa atakuja kukujibu sasa hvi kwa haya unayoongea..Hapo sijatania mkuu nimetoa maoni yangu kwa kile ninachokiona katika uongeaji wake, wewe .tazame kwa umakini tu. Inaonesha yupo mwenyewe tu sehemu ambayo anajirekodi lakini ana wasiwasi sana na pia anaharaka/hana utulivu kwenye kuongea kana kwamba ameshikiwa silaha nyuma ya kamera.
Kuna dogo huku mtaani maralia ya kupanda ilimpiga vibaya. Ikawa kila akikaa mahali dakika kadhaa anamwita baba yake aje amwokoe akidai anawaona wamasai wanataka kumchoma mikuki.
Haha kuna mambo yanachekesha sana, kwamba anawaona wamasaiKuna dogo huku mtaani maralia ya kupanda ilimpiga vibaya. Ikawa kila akikaa mahali dakika kadhaa anamwita baba yake aje amwokoe akidai anawaona wamasai wanataka kumchoma mikuki.
Wewe wakikuwahi unapona kaka.View attachment 3326103
Niko katika kampeni ya kupinga vikali nadharia za uongo either kwa kutokujua au kukujua
Nikiwa Rais watoto watafundishwa Jupiter na Saturn zinamfumo wake na haziko kwenye solar system na watafundishwa kwa msisitizo mkubwa sana
Mkuu acha kumsingizia President wetu, sio mgonjwa huyu ni time traveller katokea mwaka 2138 kafika kachoka tumpe muda.Wewe wakikuwahi unapona kaka.
Sawa president.
π€£π€£π€£ aje tu kutoa maoni ni haki yangu hapa uzuri ni kutovunja sheria tu.Jamaa atakuja kukujibu sasa hvi kwa haya unayoongea..
The up caming president ππππ
Mkuu acha kumsingizia President wetu, sio mgonjwa huyu ni time traveller katokea mwaka 2138 kafika kachoka tumpe muda.
Eee mkuu lakini dogo alipona na yuko freshi hadi leo ila ukitaka akufukuze na mawe pita karibu yake halafu useme "BABA NJOO.. NJOO WAMASAI WANATAKA KUNICHOMA MIKUKI.."Haha kuna mambo yanachekesha sana, kwamba anawaona wamasai
π π π π
Hahahaha dahEee mkuu lakini dogo alipona na yuko freshi hadi leo ila ukitaka akufukuze na mawe pita karibu yake halafu useme "BABA NJOO.. NJOO WAMASAI WANATAKA KUNICHOMA MIKUKI.."
Utazunguka mtaa mzima anakukimbiza.
Ila mkuu naamini ni kweli unanufaika na uwepo wa huyu Mheshimiwa, maana kuna siku ulimvaa mwamba mmoja katika uzi unaohusu haya mambo nilicheka mno, hadi nikaweka kumbukumbu hii post.Jamaa atakuja kukujibu sasa hvi kwa haya unayoongea..
The up caming president ππππ
Swali la msingi,View attachment 3326103
Niko katika kampeni ya kupinga vikali nadharia za uongo either kwa kutokujua au kukujua
Nikiwa Rais watoto watafundishwa Jupiter na Saturn zinamfumo wake na haziko kwenye solar system na watafundishwa kwa msisitizo mkubwa sana
Thibitisha practically kama wenzio, acha habari za kufikirika uonekane una akili kuliko waliokipa hiyo elimuView attachment 3326103