Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
- Thread starter
-
- #61
Thibitisha practically kama wenzio, acha habari za kufikirika uonekane una akili kuliko waliokipa hiyo elimu
Haya pia ulutoa kwa wazungu au ulizaliwa ukajua kama Isaac NewtonTatizo lako umekaririshwa na wazungu toka kwenye hilo jela la fikra
Huwa sisomi referenceHapa duniani hakuna mtu mwenye akili na utajiri kunizid kwenye hii karne kuanzia mwaka 2000 mpaka 2100
Jambo la kufahamu sijisifu wala sina nia ya kudharau watu wengine hapana bali naongea ukweli Wako walionizidi kwenye historia na wako watakaonizidi baada ya miaka 100 kupitawww.jamiiforums.com
Mkuu huu mchezo wa kufufua makaburi ni kutaka watu tuonekane wa hovyo ππππππππππππππIla mkuu naamini ni kweli unanufaika na uwepo wa huyu Mheshimiwa, maana kuna siku ulimvaa mwamba mmoja katika uzi unaohusu haya mambo nilicheka mno, hadi nikaweka kumbukumbu hii post.
π€£π€£π€£
View attachment 3326214
π€£π€£π€£ nafuta basi.Mkuu huu mchezo wa kufufua makaburi ni kutaka watu tuonekane wa hovyo ππππππππππππππ
Daaah jamaa sku hyo alijua kunikomesha
πππππMkuu mimi ni mwanasayansi chupukizi..π€£π€£π€£ nafuta basi.
Tukikuwahi unaponaZile ni nyota
πππ hapana mkuu, wewe hujajimwambafai vipi uzi ambao Mr president anajisifu yeye ni mtu mwenye akili zaidi DUNIANI kuanzia mwaka 2000-2100 umeuona?πππππMkuu mimi ni mwanasayansi chupukizi..
Usiseme na mimi niliugua sijui nikapona
Changamoto kubwa ya waafrika ni kutokujikubali sio kosa lakoπππ hapana mkuu, wewe hujajimwambafai vipi uzi ambao Mr president anajisifu yeye ni mtu mwenye akili zaidi kuanzia mwaka 2000-2100 umeuona?
πππππππ Kwanini useme mwenzako katoka kupona...πππ hapana mkuu, wewe hujajimwambafai vipi uzi ambao Mr president anajisifu yeye ni mtu mwenye akili zaidi DUNIANI kuanzia mwaka 2000-2100 umeuona?
πππ mkuu mbona kama unataka kunishikisha penati hapa mimi na Mheshimiwa raisi Dennis Roberts bega kwa bega hadi ikulu, nasema uongo Mheshimiwa?πππππππ Kwanini useme mwenzako katoka kupona...
Why why this
Nyota ina sifa zipi?Subiria NASA na wazungu waje wakuambie
Nyota ina sifa zipi?
Inaundwa na hydrogen na Helium kama ilivyo jua, Jupiter na saturnNyota ina sifa zipi?
Inaundwa na hydrogen na Helium kama ilivyo jua, Jupiter na saturn
Tatizo lako umekaririshwa na Wazungu na NASA fikra zako sio huruHiyo ni sifa moja wapo ya nyota umesahau kitu muhimu sana 'Mass'. Jupiter na saturn zime fail kuwa stars kwa sababu hazina enough mass ku initiate fusion reaction hivyo wana astronomia walipoziita sayari hawakukosea.
Kingine rudi kasome kuhusu star 'tug of war' uelewe kwa nini nyota huwa zinazalisha nishati joto kwa muda mrefu sana (billions of years) ,
πππ yote unayoyajua kuhusu sayari umesoma kupitia mfumo wa elimu uliorithiwa kutoka kwa hao wazungu na NASA halafu nikitumia points hizo hizo kukuelekeza kitu ambacho ulikuwa haujui unasema nimekaririshwa .Tatizo lako umekaririshwa na Wazungu na NASA fikra zako sio huru
Kusoma kupitia mzungu hakukuzui wewe kuwa na fikra huruπππ yote unayoyajua kuhusu sayari umesoma kupitia mfumo wa elimu uliorithiwa kutoka kwa hao wazungu na NASA halafu nikitumia points hizo hizo kukuelekeza kitu ambacho ulikuwa haujui unasema nimekaririshwa .
Mkuu ukitaka nikuamini leta chunguzi zozote zile alizofanya babu yako au muafrika yeyote yule ambazo zipo kinyume na tofauti kabisa na elimu ya mzungu na NASA .
Ahsante kwa kushiriki na unakaribishwa tenaHujui kitu na hauna alili kasome sayansi kimu
Niko tayari kukusaidia uachane na huo ujinga mimi kama mtu mwenye uelewe wa space and astronomyAhsante kwa kushiriki na unakaribishwa tena