Black Tanzanite
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 585
- 773
Aanza kwanza kutoa ujinga unaokusumbua weweNiko tayari kukusaidia uachane na huo ujinga mimi kama mtu mwenye uelewe wa space and astronomy
Ahsante kwa kushiriki na karibu tenaAwahiwe huyu....video itakayofuata ni aidha auwe mtunama ajiuwe yeye LIVE🤔
kwa sauti matamshi na muonekano...KUNA KITU HAKIPO SAWA😳!
View attachment 3326103
Niko katika kampeni ya kupinga vikali nadharia za uongo either kwa kutokujua au kukujua
Nikiwa Rais watoto watafundishwa Jupiter na Saturn zinamfumo wake na haziko kwenye solar system na watafundishwa kwa msisitizo mkubwa
Wewe endelea kuamini hivyoZile ni sayari
😄 🤣 😂 😆 embu leta chanzo chako cha utafiti kinachosema Jupiter na Saturn hazipo kwenye mfumo wa jua!! Unatumia sayansi au ushirikina hayati Yahaya Hussein?Aanza kwanza kutoa ujinga unaokusumbua wewe
If you think Jupiter and Saturn are stars, you are a fool.View attachment 3326103
Niko katika kampeni ya kupinga vikali nadharia za uongo either kwa kutokujua au kukujua
Nikiwa Rais watoto watafundishwa Jupiter na Saturn zinamfumo wake na haziko kwenye solar system na watafundishwa kwa msisitizo mkubwa sana
Huna unachonipunguzia
Chanzo ni mimi
Kusoma kupitia mzungu hakukuzui wewe kuwa na fikra huru
Mchina katumia technologies ya mzungu na leo Kampita
Nchi ya kwanza kuwa na viwanda vya kisasa ni uingereza ila leo hii imepitwa na South Korea, Japan na nchi nyingi tu
Usiishi kimazoea
Uongoze kwenye manufacturing output alafu unasema kamzidi nini mzungu hizi akili za wapi1. Haujajibu swali langu .
2. China ana technology gani inayomzidi mzungu? 😂😂 mchina alichofanya ni ku grow faster na kuweza ku catch up na dunia ya kwanza hakuna alichompita mzungu na kwa sababu ume generalize 'mzungu' labda uniambie ni nini mchina alichompita USA ?