Siku tuliyobadilishiwa nyama ya Mbuzi msibani kimiujiza!

Watu watakupinga ila ukweli ndio huo kuna sehemu unafika unawekewa chakula unakitazama tu hivi mtu wa ndani anakwambia usileeeee sasa jifanye kichwa ngumu kula utasimulia
Magonjwa mengi Kwa asilimia kubwa yanayowasibu waafrika, hutokana na vyakula vya aina hii.

Unakuta mtu anakohoa kikohozi mfululizo, kumbe amelishwa dudu washa limekaa kooni muda wote kumsumbua tu!!
 

Upumbavu
 
Uko sawa,

Japo kuwakatalia wenyeji wako inahitaji moyo ngumu sana
Mimi sio ngumu nikiona namna gani Sili ndani kwa ndani kuna kitu kinaniambia usile hicho chakula usileeee naishia kunawa na kusema nilisahau jamani kumbe leo nimefunga kula nipo kwenye mfungo wa dharula
 
TATEPA
 
Tukio Kama hili lilitokea mwaka 2014 nilimpoteza ba mdogo.

Mimi tangia hapo nimekua naepuka kula misibani..

Tulizika vizuri kijijini baada ya hapo tukarudi kupata chakula mida ya jion nilikua nanjaa Sana nikafakamia wali nyama, pilau..

Iliopo fikra jion Giza Giza watu tukaanza kuhara Kuna kaka zangu wali hara Sana kiasi walikimbizwa hospital kutundikwa drip za maji..

Uncle angu nae akaanza kuhara mfululizo yaan tukawa tunapishana chooni si unajua choo kipo mbali na nyumba tukapiga kambi chooni

Siwezi sahau usiku ule...baadae kesho yake nikamuuliza mtaalam akasema wachawi waliwema mambo yao sababu waliona msiba wetu ulikua na watu wengi na ushirikiano mkuu

Ogopa Sana kula ovyo ovyo misibani.
 
Maombi yatosha, mambo ya chumvi mwachie Mshana Jr yule wa zamani Si mshana wa sasa.

Kanda ya Ziwa imetajwa sana, kumbe wamebobea kwenye mambo hayo, ukiwaona usoni wapoleee!![emoji1787]
Ndio mambo yao hayo

Kwanza ushaona wapi msukuma asiye na chale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…