Nimekuelewa mkuu, ila kusema ukweli mtu akikuambia uwe na knowledge ya IT labda anamaanisha ujue kutumia Microsoft office kama word, excel, PowerPoint na zinginezo. Ila kisema tu IT it's to general.Aisee kusema kweli mimi sijui hata kuna vitu gan huko.
Kuna mjomba wangu nlikutana nae juz kati kwenye msiba, one of the things tulibonga n hicho. Aliniambia kbsa kua unahitaji kuwa na knowledge ya IT. Then akasepa.
So nataka kupata insight nijue kuna nin