Siku ya 3 katika safari yangu ya kujifunza programming

Siku ya 3 katika safari yangu ya kujifunza programming

Nashukuru sana AI, inanisadia sana katika hii journey. Kuna sehemu nikikwama nauliza maswali inanieleza na sometime nikisoma kitu sijakielewa naiuliza inanieleza na muda mwingine naomba hata inionyeshe mifano inanionyesha. At least imefanya nakuwa na partner wa kunielekeza ninapofail
AI mie mwenye nimeitumia.
Mfano niliiuliza ieleze mfumo wa damu yani kazi za moyo. Majibu hayakuwa sahihi kwa asilimia hata 80. AI ni nzuri kwa reference sio kwa fresher inakupoteza tu bora uzame kwenye kitabu tu. AI ni kitu kinahitaji kuongozwa kutoa majibu sio kumuongoza mtu asie jua jambo kiundani apate majibu sahihi. Bora utumie zaidi stack overflow, Quora nk unaoata majibu kutoka experienced people kuliko AI
 
AI mie mwenye nimeitumia.
Mfano niliiuliza ieleze mfumo wa damu yani kazi za moyo. Majibu hayakuwa sahihi kwa asilimia hata 80. AI ni nzuri kwa reference sio kwa fresher inakupoteza tu bora uzame kwenye kitabu tu. AI ni kitu kinahitaji kuongozwa kutoa majibu sio kumuongoza mtu asie jua jambo kiundani apate majibu sahihi. Bora utumie zaidi stack overflow, Quora nk unaoata majibu kutoka experienced people kuliko AI
Ndicho ninachofanya ninasoma ila nikitaka amelezo zaidi ya kitu specific na mfano wake nairefer chatgpt mfano nataka inionyeshe mfano wa kitu kimoja. Mfano nilisoma kuhusu list kwnye python. Ila nilikuwa najua kurecall list moja moja, sasa nikataka kujua nawezaje kurecall list zangu zote na kuzijoin kisha iziprint, so nikaiomba AI mfano wa code hiyo kwa kuipa mfano wa code zangu nilizochapa na maelekezo kuwa nikitaka kuzicall zote ziwe displayed kwa pamoja inakuaje, hapo ikanisaidia.
 
Hii ni Bahari kijana
Can you sweem in a whole ocean ?
Kama hakuna limitation ya muda inakuwaje. Lazima kuwe na timeframe vinginevyo hakuna kikomo cha upeo wa unachojifunza.
Kila elimu ni bahari hakuna elimu yenye mwisho lakini ni muhimu kujua muda wa ku master unachojifunza.
Vyuoni hupanga miaka 3 au 4 mtu anakuwa walau anaweza ajirika kwa fani aliosomea.
 
Mkuu, unaweza kunisaidia hapa. Maana nimejaribu tafuta wapi nakosea sijafanikiwa:
Lengo ni kuunda To-Do list programu. Utagundua code hazijakamilika ila ina run kwa vile vipengele vilivyokamilika. So nimeanza kuextend kipengele cha daily kwanza.

Yani ukiingia inakuuliza kama unataka kuongeza task au kuangalia task zilizopo.

ukichagua kuongeza task, inakuuliza kama ni task ya kila siku, mwezi, nusu mwaka na ...
ukichagua Daily, inakupa uongeze task za siku. Ukishaongeza ukatoka, inakuuliza kama wataka kuview, hapo ukikubali inakuonyesha task zote halafu inakuuliza kama wataka weka task ulizomaliza.
Sasa hapa ukisomea ndiyo inakuuliza za daily, monthly ...

nimechapa za daily, ili mtu akiweka task iicompare na zilizo kwenye list ya daily task ikikuta ipo basi ndipo iongeze hiyo task kwenye list ya complete task za daily kama haipo iandike no task found. Sasa hapa ndipo napata shida. Kila task ninayoweka inasema no task found.

lengo mwisho ije ichungua task za completed daily na task za daily ikupe asilimia za task ulizokamilisha kama unavyoona kwenye print command.

Nimejaribu tafuta wapi nakosea sijafanikiwa.

Ni kipengele cha daily tu maana vipengele vingine sijavi extend nilitaka niwe naiextend kwa kadri navyofanikiwa kwa kwa kipengele kimoja kimoja
dronedrake Mjamaa1

Code:
# Python Yearly Plan Program
# Lists
dailylist = []
do_daily = []
monthlylist = []
quaterlylist = []
semiannuallist = []
annuallist = []

#calculations
percentdaily = 0
if len(dailylist) > 0 and len(do_daily) > 0:
    percentdaily = len(do_daily) / len(dailylist) * 100


# Choosing & inputting items for the list
#Daily input code
def daily():
    choice1 = input('Your day plan: ').strip().lower()
    dailylist.append(choice1)
    add = input('Add more? (Yes/No): ').strip().lower()
    if add == 'yes':
        daily()
    elif add == 'no':
        print('Back to main...')
    else:
        print('Invalid entry!')
#monthly input code
def monthly():
    choice2 = input('Your monthly plan: ')
    monthlylist.append(choice2)
    add = input('Add more? (Yes/No): ').strip().lower()
    if add == 'yes':
        monthly()
    elif add == 'no':
        pass

def quaterly():
    choice3 = input('Your quarterly plan: ')
    quaterlylist.append(choice3)
    add = input('Add more? (Yes/No): ').strip().lower()
    if add == 'yes':
        quaterly()
    elif add == 'no':
        pass

def semi_annual():
    choice4 = input('Your semi-annual plan: ')
    semiannuallist.append(choice4)
    add = input('Add more? (Yes/No): ').strip().lower()
    if add == 'yes':
        semi_annual()
    elif add == 'no':
        pass

def annual():
    choice5 = input('Your annual plan: ')
    annuallist.append(choice5)
    add = input('Add more? (Yes/No): ').strip().lower()
    if add == 'yes':
        annual()
    elif add == 'no':
        pass

def input_get():
    dailylist.clear()
    do_daily.clear()
    while True:
        option_menu = input('Add new task | View task: ').strip().lower()
        if option_menu == 'new task':
            choice = input('Choose type of plan. Daily | Monthly | Quarterly | Semi-annual | Annual | Quit: ').strip().lower()
            if choice == 'daily':
                daily()
            elif choice == 'monthly':
                monthly()
            elif choice == 'quarterly':
                quaterly()
            elif choice == 'semi-annual':
                semi_annual()
            elif choice == 'annual':
                annual()
            elif choice == 'quit':
                print('You have ', len(dailylist), ' tasks today. Here is your list: ', dailylist)
                break
            else:
                print('Invalid entry!')
      
        if option_menu == 'view task':
            print('Your daily tasks: ', dailylist)
            print('Your monthly tasks: ', monthlylist)
            print('Your quaterly tasks: ', quaterlylist)
            print('Your semi-annual tasks: ', semiannuallist)
            print('Your annual tasks: ', annuallist)
          
            choice_done = input('Add completed tasks. Daily | Montly | Quaterly | Semi-annual | Annual | Back: ').strip().lower()
            if choice_done == 'daily':
                while True:
                    dailycomp = input('Enter completed task: ').strip().lower()
                    if dailycomp in dailylist:
                        do_daily.append(dailycomp)
                    if dailycomp == 'exit':
                        print('Your completed tasks: ', do_daily)
                        print(percentdaily, ' of your today tasks.')
                        break
                    else:
                        print('No task found!')
                  

input_get()
 
Mkuu, unaweza kunisaidia hapa. Maana nimejaribu tafuta wapi nakosea sijafanikiwa:
Lengo ni kuunda To-Do list programu. Utagundua code hazijakamilika ila ina run kwa vile vipengele vilivyokamilika. So nimeanza kuextend kipengele cha daily kwanza
Vipi kama ungekua unapush code zako github kwenye maboresho na mapendekezo wawe wanakuja huko ni rahisi ku-track program zako.
 
Python ni very simple programming language.
I Would recommend C or C++ kama unataka kuwa coder mzuri
Hivi wakuu mnavosema python is a very simple language mnamaanisha nini? Hasa

Haifanyi kazi yake ? Au lengo ni nini kuanza na lugha ngumu?
 
Back
Top Bottom