Nimekuelewa mkuu, ila kusema ukweli mtu akikuambia uwe na knowledge ya IT labda anamaanisha ujue kutumia Microsoft office kama word, excel, PowerPoint na zinginezo. Ila kisema tu IT it's to general.Aisee kusema kweli mimi sijui hata kuna vitu gan huko.
Kuna mjomba wangu nlikutana nae juz kati kwenye msiba, one of the things tulibonga n hicho. Aliniambia kbsa kua unahitaji kuwa na knowledge ya IT. Then akasepa.
So nataka kupata insight nijue kuna nin
Niko hapa kukusaidia mkuu, kuna Sql na MysqlMimi nililuwa nawapa watu kazi wananitengenezea website na apps,
Sasa juzi kati nikajaribu some code na withe the help ya ai nikaweza kufanya kitu kikafunguka,ishu kama kuna mtu anaweza kunielekeza jinsi ya kufanya integration na data base,nimejaribu nimeishia njiani
Hyo office na kila.kitu im super good.Nimekuelewa mkuu, ila kusema ukweli mtu akikuambia uwe na knowledge ya IT labda anamaanisha ujue kutumia Microsoft office kama word, excel, PowerPoint na zinginezo. Ila kisema tu IT it's to general.
Asante mkuu... Kwenye update unaweza kujua kwanini code haiendelei kuleta tena options baada ya kuleta option kwa mara ya kwanzamwanzo mzuri
Mimi nahitaji sana ishu za AI je ni wapi hasa inapaswa kuanza kuzingatia nilisoma mechanical ila nilipendelea sana electronics nikajifunza sana hasa hardware kwa sasa nahitaji huko.Pamoja mkuu, mimi huwa namshauri mtu language ya kujifunza baada ya kujua dhumuni la mtu husika , yaani anataka kufanya nini hasa.
ah hapana sina uzoefu nayoAsante mkuu... Kwenye update unaweza kujua kwanini code haiendelei kuleta tena options baada ya kuleta option kwa mara ya kwanza
Pamoja, mkuumwanzo mzuri
ah hapana sina uzoefu nayo
ukipost codeBahati mbaya nikiipost hapa inaondoa Indentation sijui shida nini
hello There
Asante mkuu kwa mwongozo. Next time ntaifanyia kazi mkuuukipost code
tumiaCode:weka code hapa
so indentation hazitaondoka
mf:
Python:hello There
weka code kwa code tags kama nilivyokwambia hapo juuAsante mkuu... Kwenye update unaweza kujua kwanini code haiendelei kuleta tena options baada ya kuleta option kwa mara ya kwanza
Ntarudi tena mkuu na code nyingine hii kumbe haikuqa na error bali interpreter ndio ilikuwa na error nliirestart ikarun kama kawaidaweka code kwa code tags kama nilivyokwambia hapo juu
naweza kukusaidia
Hiki ndio kinapigwa Vita sasa hivi watu wanakua sio creative sababu ya AI kila kitu kimekua cha bandia kutoka kwa akili bandiakwa sababu ya AI
Mimi sasa lengo langu ni kuweza kudevelop na kuintergrate models za AI ndio maana nikachagua pythonHiki ndio kinapigwa Vita sasa hivi watu wanakua sio creative sababu ya AI kila kitu kimekua cha bandia kutoka kwa akili bandia
Tunaanza HTML & CSS plus Visual Basic1_ Ajifunze Html na Css very simplee na inachangamsha sana.
2_ Php ifate.
Hapo atajoin concepts nyingii sana html, css & Php maana backend itakuwa haimsumbui
3_ Javascript
Akiimaster hii na hizo vitu juu huyu mtu anakuwa competent sana ktk web devs.
Yes Python ni lugha nyepesi kuimaster sio vibayaMimi sasa lengo langu ni kuweza kudevelop na kuintergrate models za AI ndio maana nikachagua python
Kama una mlengo wa kuwa software engineer na baadhi ya course zingine tembelea ALX naona bado wana chukua wanafunzi wa Software Engineer.Waungwana, kwanza hongereni.
Juzi hapa nmepewa task nijifunze hizi kitu lakini sijui hata pa kuanzia. Na sina hata background.
Ili at least nipate mwanga na nianze, mnaeza kunipa pointers?
Msaada wenu ni muhim