Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari - 2022: Rais Samia awahimiza wanahabari kuzingatia mila na desturi za Kiafrika

Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari - 2022: Rais Samia awahimiza wanahabari kuzingatia mila na desturi za Kiafrika

Maza akisikia tukio linafanyika chuga anajikuta lazima aende tu😃😃 sijui Siri ni nini?

Sisi wa nyanda za juu Kusini naona ameamua atakuja kuomba kura tu. Hakuna noma.
Arusha ni pazuri panafundisha upambanaji!
 
Tamaduni nyingi zimeuliwa, umoja wa taifa upo hatarini, usalama wa taifa kuwa hatarini kutokana na wale wanaotaka kupinga mamlaka, makundi ya kigaidi yanatumia mitandao kupanga mambo ya na kufundisha wengine ugaidi kwa njia ya kidigitali na kuongezeka kwa habari za uwongo.”
Tutaanzia humu Bwana Ryioba. Ushirikano wako/wenu uzingatiwe!
Licha ya mafanikio katika Sekta ya Habari, bado kuna changamoto kadhaa zinazohitaji kutatuliwa

Miongoni mwao ni ushindani usio sawa, hali duni ya wanahabari na kuongezeka kutumia watu maarufu kama watangazaji
Hakika, hili linafanyiwa unyambuzi hapa JF
Tulibainisha kwa dhati sana kwamba ni muhimu kwetu kama Waafrika kuchukua jukumu la kueleza simulizi zetu.
Haswa, lakini wapo wanaonunulika na kuendeleza na "disinformation" "misinformation" Watashindwa tu!

Haijalishi. Yamebainika kweli na yanafanyiwa kazi. Naunga mkono 100%
Waziri wa Habari, Nape Nnauye ametangaza ataunda kamati ya pamoja kati ya wadau wa habari na Serikali kupitia sheria zinazolalamikiwa, ameahidi kufikia Settemba 2022 sheria zote zinazolalamikiwa zitakuwa zimepatia utatuzi
Kamua, piga ua!
Nimeelekeza sheria mbalimbali za vyombo vya habari zifanyiwe marekebisho, na mchakato wa marekebisho hayo ufanywe kwa majadiliano na sio kwa sisi tunataka n
Hakika Mh. Raisi. Tujadiliane, Nikukune unipapase! Mtungi wetu sote!

Nimefarijika na hayo, juu.
Ndiyo niliyoona.
Aluta Continua.
 
Back
Top Bottom