Siku ya Wanawake Duniani isitumike kutengua maandiko ya vitabu vitakatifu

Ndauli be!

Kiukweli mwanamke kama yule unawezaje kukaa nae ndani kwa mfano? Kupika tu na kufua atataka mpangiane zamu!

Vyanamke kama hata tendo vinatoa vikijisikia tena kwa masharti.
Hamjatujulia tu..ukiona mwanamke ameanza kukupangia mashart kuna kitu unamkwaza
 
Asante mama yetu chukua soda takuja kulipa🚶🚶
 
Kula bonge la "LIKE"

50/50 percent haiwezekani in reality .

Super women wengi wamepoteza watu maboya.

Nakupa mifano miwili

1.Joyce kiria

2.Open kichten

Hawana ndoa this time sababu za usupawomani[emoji1][emoji849]

Mwanamke abaki kuwa mwanaume
 
Hahaha ona sasa kwa hivyo kuna ya mama na ya wanawake! Leo kuna mtu alinitumia msg ya "Happy women's day" nikajiuliza hii kitu huwa ni mara ngapi kwa mwaka huh!
Mimi natamani ziwepo tu hata 3...tucelebrate
 
U are very smart. Ningekuwa magu kesho wewe ndio waziri wa ustawi wa jamii, maendeleo, wanawake na watoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamjatujulia tu..ukiona mwanamke ameanza kukupangia mashart kuna kitu unamkwaza
Hapana, anataka afanye anavyotaka yeye!

Kiufupi wanawake wa aina ile hawataki kuwa chini ya mtu, yani anataka awe huru kujiamulia mambo yake mwenyewe ikiwezekana akitaka kesho kwenda kulala kwa john muache aende maana ni haki yake!

Hafanyi majukumu ya kimama kama kufua, kupika, usafi wa nyumba nk yote hayo usipoleta mschana wa kazi nyumba inageuka jalala, yeye kazi yake kutwa ni kuingia mitandaoni na kujifanya mwanaharakati basi!

Ndio sababu unaona siku hizi wadada wasomi wengi hawaolewi maana hakuna mwanaume anaweza kuoa kisha ndani wote muwe na ndevu.
 
Haya mambo ya super woman haya.. Yanawafanya wanawake kijisahau na kufanya mambo nje ya mujukumu yao na mipaka yao kama wanawake..
 

Narudia tena..ukiona hvyo basi liko tatizo...naona unataka wanawake wa kukunyekea..kukupraise...kukuona bila ww wao si lolote nenda kwenye kidabaga utawapata
 
Vitabu vimemfanya mwanamke kuwa chini ya mwanaume, sasa kuna ulazima mwanamke nae apambanie haki yake, kuna wanawake wengi wenye akili na maarifa kuliko wanaume wengi, wanayo haki ya kuwa juu ya wanaume kama wamewazidi akili na maarifa
Huo kuwa juu ya Mwanaume,Usuper Woman,sijui kichwa cha familia na upuuzi mwingine unaofanana na huo utaufanya ukiwa kwa Baba yako Mzazi.
 
Radical feminists wanapambana kweli.......anyway bora wewe umeona mbali.....hao wengi wapiga kelele ni asilimia 0.00000000001 ndiyo wana ndoa, wengine wote ni either single mothers or wanazurula tu mjini
 
Mbona INDIA wanawake wanaoa wanaume, haya mambo yanawezekana
Hapana hawaoi. Wanalipa ili kumpa mwanamke heshima na utu wake katika ndoa yake asionekane kama aliuzwa au alilipiwa pesa.

Pili, wanafanya vile kama shukurani kwa familia ya mwanaume kumpokea binti yao na kumfanya sehemu ya familia na kuishi nae....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Narudia tena..ukiona hvyo basi liko tatizo...naona unataka wanawake wa kukunyekea..kukupraise...kukuona bila ww wao si lolote nenda kwenye kidabaga utawapata
Mkuu siyo hivyo!

Tunataka wanawke wenye heshima, nidhamu na unyenyekevu, na ndio biblia inachotaka.

Kwenye biblia Mwanamke jukumu lake kwa mwanume ni KUTII basi,! Na mwanaume nae jukumu lake ni kumpenda basi!

Kama kila mmoja akisimama kwenye nafasi yake katika hayo maneno mawili hakuna ndoa itavunjika.


Sawa kidabaga ntaenda ila dada zako hawa wa mjini waambie kabisa wataishia kuwa wasafisha marungu tu.
 
Nimemshangaa sana katibu na mbunge wa kuteuliwa wa chama fulani huko insta. Anasema wanawake wana akili kuliko wanamme, nikawaza Kuna utafiti ulishafanywa kuthibitisha hilo?!. Au anaropoka tu kwa sababu za kisiasa?!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…