Siku ya Wanawake: Tusiende mbali, Rais Samia amefunika!

View attachment 2541465

Leo naambiwa ni siku ya mwanamke , wanaume hatumo lakini tutawashabikia.

Kuna wanawake wengi wamefanya mengi ya kuigwa, lakini mimi namweka kwenye kiti mama Samia Suluhu.

Toka tarehe 17 March 2021 hadi leo upepo wa nchi umebadilika kabisa:
  • Hali ya kuogopa maisha yako kupotea kwa kusema lolote imeisha
  • Watu wasiojulikana wamerudi maskani kwao
  • Utekaji wa aina ya Roma Mkatoliki na Mo umepotea
  • TRA siku hizi wana adabu na heshima wapodai kodi
  • Kubambikizwa kesi kumepungua sana, kama si kuisha
  • Zile amri za wakuu wa mikoa, mawaziri, wakuu wa wilaya kuweka watu ndani zimekoma
  • ndugu zetu wa CHADEMA hadi mwenyekiti wake kulala lupango kila baada ya mwezi zimeisha
  • Lema na Lissu wamerudi na hawajabugudhiwa
  • Mbowe kaenda mara kadhaa kunywa chai Ikulu
  • Shilingi ya Tanzania haijashuka thamani
  • Watalii wamefurika, na kuja na dola zao
  • Ujambazi wa serikali kupora fedha toka kwa wananchi(wafanyabiashara) umeisha-tunakumbuka kuporwa Beureu De Change nchini
  • Viongozi fulani fulani wanaotumwa kutesa, kuteka, kupora kama Makonda na Sabaya sasa hawapo tena.
Kuna mengine mengi, lakini naada ya 2015 tumeyashuhudia mengi yaliyotukatisha tamaa wananchi.

Mimi binafsi nampa tano mwanamke na Rais, Samia Suluhu Hassan.
Naomba atakaye pinga atoe na sababu zake, lakini mimi a Samia.

Sasa kafunikia nn? Ubwabwa
 
SASA NIMEAMINI MAGUFULI hawakuwa "RAIS MATERIAL "
 
Hakika umedhihirisha ujuha wako halisi, pathetic [emoji817]
 
N

Nilichogundua rais ananafasi kubwa kuleta utengamano au kulivunja taifa kwa sasa hata mimi nampongeza kwa hiki anachojarabu kukifanya tumpe muda.
 
Naunga mkono hoja
P
 
N

Nilichogundua rais ananafasi kubwa kuleta utengamano au kulivunja taifa kwa sasa hata mimi nampongeza kwa hiki anachojarabu kukifanya tumpe muda.
Kwa kweli mama ameonyesha kuwa siasa si uadui.
Tunakumbuka iku ambazo kila ucho ni virungu, maomu ya machozi, kutekwa na kubambikwa kesi za uhujumu.
Polisi tunao ni wale wale lakini nao wamepata akili ghafla.
 
Lakini ajabu sana, kuna watu wanaumia hawataki kuona hili, nimesoma bandiko la ndugu yangu Ole-Mushi nimeshangaa sana, najiuliza hivi walikuwa wanafurahi watu kuumizwa vile, kutekwa vile, kuwawa vile nimeshangaa sana Mungu amuhurumie.

View attachment 2541465
View attachment 2542763
Leo naambiwa ni siku ya mwanamke , wanaume hatumo lakini tutawashabikia.

Kuna wanawake wengi wamefanya mengi ya kuigwa, lakini mimi namweka kwenye kiti mama Samia Suluhu.

Toka tarehe 17 March 2021 hadi leo upepo wa nchi umebadilika kabisa:
  • Hali ya kuogopa maisha yako kupotea kwa kusema lolote imeisha
  • Watu wasiojulikana wamerudi maskani kwao
  • Utekaji wa aina ya Roma Mkatoliki na Mo umepotea
  • TRA siku hizi wana adabu na heshima wapodai kodi
  • Kubambikizwa kesi kumepungua sana, kama si kuisha
  • Zile amri za wakuu wa mikoa, mawaziri, wakuu wa wilaya kuweka watu ndani zimekoma
  • ndugu zetu wa CHADEMA hadi mwenyekiti wake kulala lupango kila baada ya mwezi zimeisha
  • Lema na Lissu wamerudi na hawajabugudhiwa
  • Mbowe kaenda mara kadhaa kunywa chai Ikulu
  • Shilingi ya Tanzania haijashuka thamani
  • Watalii wamefurika, na kuja na dola zao
  • Ujambazi wa serikali kupora fedha toka kwa wananchi(wafanyabiashara) umeisha-tunakumbuka kuporwa Beureu De Change nchini
  • Viongozi fulani fulani wanaotumwa kutesa, kuteka, kupora kama Makonda na Sabaya sasa hawapo tena.
Kuna mengine mengi, lakini naada ya 2015 tumeyashuhudia mengi yaliyotukatisha tamaa wananchi.

Mimi binafsi nampa tano mwanamke na Rais, Samia Suluhu Hassan.
Naomba atakaye pinga atoe na sababu zake, lakini mimi a Samia.

UPDATE
Kikao cha Mama Samia na wanawake wa CHADEMA , siku ya wanawake duniani, kilichofanyika jana 8/3/2923 mjini Moshi, kimetoa fursa ya kuyaona mengi yaliyo moyini mwa Rais.
Hata hivyo hata kwa sisi wana CCM ni mwendo mzuri unsotuhakikishia kuishi kistaarabu na heshima nchini.
Mbowe fundi.
 
Unajua,tupo mbumbu sana,yaani tunashabikia vitu tusivyovijua kabisa.Hivi kweli tunajua akina nani hasa wameanzisha siku ya Wanawake duniani na wana malengo gani.Yaani kila tunaloambiwa we take for granted kwamba ndivyo kweli lilivyo,we do not take time to ponder and investigate the source and reason for it.

Let me say this,sherehe hii ina demonic roots,na its' final goal ni kubadilisha mpango halisi wa Mungu kwenye familia wa mwanamme kuwa kiongozi.This is an attempt to glorify Women at the expence of men,which is in itself demonic.

It is important to realize that Lucifer rules the World and everything which is in the World belongs to him,including the so called Women's Day and for a specific agenda,which I have already highlighted.It's funny that even those who call themselves Children of God have been carried away by this Satanic agenda.
 
Sijui unatoka shimo gani linalfuka moshi!
Una mawazo ya ujima na kufikiri wanawake wa karni hii hawahitaji maendeleo ya kimwili na kifikra.
Mpaka tunaye Rais mwanamke ujue tumetoka mbali sana.

Mawazo yako na wengine wa aina yako watakuwa na haya ambayo kimsingi ni ya kijinga na yamepitwa na wakati:
  • mwanamke ni mtambo wa kuzaa watoto tu
  • mwanamke hahitaji elimu, sana sana afundishe kupika tu na kufua nguo
  • mwanamke inabidi awe submisssive kwa mwanaume kwa kila kitu, maana akili yake ni finyu
  • mwanamke haruhusiwi kula mayai na vitu vyenye protein kama ilivyo makabila fulani
  • mwanamke kufanya biashara ni uhuni
  • mwanamke kungia siasa ni uhuni zaidi

Kwa mawazo kama hayo tusingekuwa na watu tough kama Winnie Mandela(S.Africa),Prof Wangari Mathaai(Kenya), Asha-Rose Migiro(Tanzania), Indira Gandhi(India), Golda Meir(Israel), Margaret Thather(UK), Madeline Albright (USA), Condoleeza Rice(USA) na wengine kama Eva( Peron Argentina).

Namalizia mkuu kukusihi kuwa ukilala wewe, endelea na usingizi wako, pemgine utaamshwasiku ya kiama.
 
You have been carried away by Lucifers' lies and beyond repair.But remember Lucifer has nothing to offer you except lies,spiritual death and destruction.

Finally,remember you are party in the destruction of the family unit either knowingly or unknowingly.
 
Amefunika HAKIKA.

CCM iwe tayari kuwakabidhi usukani WAPINZANI ikiwa watashinda Kwa HAKI.
 
You have been carried away by Lucifers' lies and beyond repair.But remember Lucifer has nothing to offer you except lies,spiritual death and destruction.

Finally,remember you are party in the destruction of the family unit either knowingly or unknowingly.
You might be Lucifer himself.
You dont sound very much different fom the Chief Hater!
 
Mimi sio hater,ila I want every body to take his/her rightful position according to Gods' plans for human kind.I hate Luciferian ideologies of which you are an extremely faithful adherent.Bad luck indeed for being a faithful Lucifer agent.
 
Back
Top Bottom