Siku yake ya kuzaliwa (Birthday 🎉) Pia ni tarehe na Mwezi ambao Baba yangu mzazi alifariki! Nafanyaje?

Kwa hiyo babaako utakuwa unamuomboleza milele? Msiba ukoshafanya 40 unakuwa umekwisha kinachofata ni kusherekea maisha ya marehemu duniani.
 
Mwanaume si unafanya tu maamuzi hapo, mama cancel birthday day yako kwa kuwa imeingiliana na kumbukumbu ya kifo cha baba, then birthday yako utasherehekea siku nyingine. Haina haja ya kuja kufungua uzi humu.
Hii sio sawaah.
 
Umemaliza kila kitu mkuu, muhimu apo achague mambo mazur ya mzee wake afurahie pamoja bday ya mke wake,ni bora kuifanya siku ya furaha zaid kuliko kujitia majonz na huzuni kwa mtu alietangulia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku ya kuzaliwa ina faida gani? Acheni kuendekeza ujinga
 
Kweli wewe ni kiazi wa mwisho. .

First, birthday you celebrate life
Second, unasherekea maisha ya baba yako au unaomboleza maisha ya baba yako?
 
"Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja"
 
Inaonekana huna sauti kwa Mke wako, ukiwa kama Mume wake fanya maamuzi magumu mweleze kuwa hiyo siku na wewe pia unahitaji kufanya ibada.
 
Sasa ulihisi unalala na mama?
Nafikiri ungempenda mara 2 mke na kama mama
Kama wewe ni ke huwezi kunielewa haraka.
Basi tu kila mtu na attitudes zake.
Mi yule kuitwa jina la mama haikuwa shida mpaka inapoanza biashara ya kulalana.
Au wewe eneo hilo huwa hunong'onezwi kitu!
 
Kama wewe ni ke huwezi kunielewa haraka.
Basi tu kila mtu na attitudes zake.
Mi yule kuitwa jina la mama haikuwa shida mpaka inapoanza biashara ya kulalana.
Au wewe eneo hilo huwa hunong'onezwi kitu!
Akili yako tu ilikudanganya...jina ni jina tu
 
Mkuu ni kama umekopi kile nilitaka kuandika hapa, nashauri jamaa apewe hii Comment in capital letters na uzi ufungwe.
 
Mkeo yupo Sahih, Walopita wamepita na ya kwao Mjali aliehai kaka, Mzee ashakufa huto kama ukumwonyesha upendo akiwa hai sasa wafanya kazi bure na kujitaabisha.
 
Uyu anachanganywa na Series za Kihindi... [emoji849]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbongo Chafu...
 
Mtu mzima kulilia Birthday ni ujinga over [emoji338]
Katika dunia hii tuna interests tofaiti tofauti sana so heshimu anachopenda mwenzio japo ni vyema akafanya kwa kiasi
 
Maiti huwa inahesbimiwa na Kila mtu, Hujaona hata mnapokwenda kuzika Wanajeshi au polis hushuka Kwenye magari Yao na kuipigia saluti?

Sasa wewe Birthday ya mkeo na Azimisho la Kifo Cha Baba yako lipi ni tukio lenye nguvu.?


Birthday isogeze wiki mbili zijazo..
 
Hapo huna mke una Bumunda TU,

Piga chini akasherehekee kwao kuzaliwa kwake
 
[emoji3578][emoji3578][emoji122]

Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…