Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes hapa ndo umenena haswaaah.Kumbukumbu mnafanya asubuhi...
Jioni ikifika Saa moja mnafanya birthday...
Vitu vingine vyepesi Sana mna complicate bila sababu
Hii sio sawaah.Mwanaume si unafanya tu maamuzi hapo, mama cancel birthday day yako kwa kuwa imeingiliana na kumbukumbu ya kifo cha baba, then birthday yako utasherehekea siku nyingine. Haina haja ya kuja kufungua uzi humu.
Yaan ajabu kwa kweli, khaaahYeye anataka siku nzima wawe wanalia na kuomboleza kumbukumbu ya kifo cha Baba
Umemaliza kila kitu mkuu, muhimu apo achague mambo mazur ya mzee wake afurahie pamoja bday ya mke wake,ni bora kuifanya siku ya furaha zaid kuliko kujitia majonz na huzuni kwa mtu alietanguliaKama Baba alishakufa basi na kama kuhuzunika ulisha huzunika vya kutosha ..kilichobaki ni wewe kusherekea birthday ya mkeo huku ukisherekea maisha ya baba yako…furahia kuwa aliishi na uli enjoy kuwa naye….siyo kila muda unalazimisha kulia lia na kutia huruma….enjoy maisha ya mkeo na maisha ya baba yako……
Acha mambo ya kufikirika ..nani kakwambia kuwa ikifika tarehe hiyo lazima uhuzunike? Kwani uwezi fanya ibada ya furaha kumkumbuka baba yako alivyogusa maisha yako na ya wengine?
Punguza utoto bhana
Wakuu hii ni seriously kdg huyu ni mke kbs miaka 10 Sasa lkn inakuwa shida wakati yeye anafurahia kuzaliwa kwako me nakuwa kwenye machungu ya kuomboleza kifa cha baba yangu!
Hii imeleta shida mara nyingi ingawaje mara nyingi nachukulia poa lkn nikitamani kufanya ibada ya kumshukuru Mzee katika kipindi cha uhai wake inakuwa shida kwa mke wangu yeye anasema anataka kufurahia birthday [emoji849]
Napokea ushauri na mawazo yenu!
Kama wewe ni ke huwezi kunielewa haraka.Sasa ulihisi unalala na mama?
Nafikiri ungempenda mara 2 mke na kama mama
Akili yako tu ilikudanganya...jina ni jina tuKama wewe ni ke huwezi kunielewa haraka.
Basi tu kila mtu na attitudes zake.
Mi yule kuitwa jina la mama haikuwa shida mpaka inapoanza biashara ya kulalana.
Au wewe eneo hilo huwa hunong'onezwi kitu!
Mkuu ni kama umekopi kile nilitaka kuandika hapa, nashauri jamaa apewe hii Comment in capital letters na uzi ufungwe.Kama Baba alishakufa basi na kama kuhuzunika ulisha huzunika vya kutosha ..kilichobaki ni wewe kusherekea birthday ya mkeo huku ukisherekea maisha ya baba yako…furahia kuwa aliishi na uli enjoy kuwa naye….siyo kila muda unalazimisha kulia lia na kutia huruma….enjoy maisha ya mkeo na maisha ya baba yako……
Acha mambo ya kufikirika ..nani kakwambia kuwa ikifika tarehe hiyo lazima uhuzunike? Kwani uwezi fanya ibada ya furaha kumkumbuka baba yako alivyogusa maisha yako na ya wengine?
Punguza utoto bhana
Mkeo yupo Sahih, Walopita wamepita na ya kwao Mjali aliehai kaka, Mzee ashakufa huto kama ukumwonyesha upendo akiwa hai sasa wafanya kazi bure na kujitaabisha.Wakuu hii ni seriously kdg huyu ni mke kbs miaka 10 Sasa lkn inakuwa shida wakati yeye anafurahia kuzaliwa kwako me nakuwa kwenye machungu ya kuomboleza kifa cha baba yangu!
Hii imeleta shida mara nyingi ingawaje mara nyingi nachukulia poa lkn nikitamani kufanya ibada ya kumshukuru Mzee katika kipindi cha uhai wake inakuwa shida kwa mke wangu yeye anasema anataka kufurahia birthday [emoji849]
Napokea ushauri na mawazo yenu!
Uyu anachanganywa na Series za Kihindi... [emoji849]Kama Baba alishakufa basi na kama kuhuzunika ulisha huzunika vya kutosha ..kilichobaki ni wewe kusherekea birthday ya mkeo huku ukisherekea maisha ya baba yako…furahia kuwa aliishi na uli enjoy kuwa naye….siyo kila muda unalazimisha kulia lia na kutia huruma….enjoy maisha ya mkeo na maisha ya baba yako……
Acha mambo ya kufikirika ..nani kakwambia kuwa ikifika tarehe hiyo lazima uhuzunike? Kwani uwezi fanya ibada ya furaha kumkumbuka baba yako alivyogusa maisha yako na ya wengine?
Punguza utoto bhana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbongo Chafu...Kilicho bora zaidi unakijua nafsin mwako bila sisi kuthibitisha. Ibada!
Hali kama hizi nimewai kumpoteza msichana nimpendaye kwa dhati kisa jina lake kufanana na la mama mzazi. Mwanzon sikujua italeta shida wakati wa tendo. Nikalazmika kumkimbia hiv hiv!
Katika dunia hii tuna interests tofaiti tofauti sana so heshimu anachopenda mwenzio japo ni vyema akafanya kwa kiasiMtu mzima kulilia Birthday ni ujinga over [emoji338]
Maiti huwa inahesbimiwa na Kila mtu, Hujaona hata mnapokwenda kuzika Wanajeshi au polis hushuka Kwenye magari Yao na kuipigia saluti?Wakuu hii ni seriously kdg huyu ni mke kbs miaka 10 Sasa lkn inakuwa shida wakati yeye anafurahia kuzaliwa kwako me nakuwa kwenye machungu ya kuomboleza kifa cha baba yangu!
Hii imeleta shida mara nyingi ingawaje mara nyingi nachukulia poa lkn nikitamani kufanya ibada ya kumshukuru Mzee katika kipindi cha uhai wake inakuwa shida kwa mke wangu yeye anasema anataka kufurahia birthday 🙄
Napokea ushauri na mawazo yenu!
Hapo huna mke una Bumunda TU,Wakuu hii ni seriously kdg huyu ni mke kbs miaka 10 Sasa lkn inakuwa shida wakati yeye anafurahia kuzaliwa kwako me nakuwa kwenye machungu ya kuomboleza kifa cha baba yangu!
Hii imeleta shida mara nyingi ingawaje mara nyingi nachukulia poa lkn nikitamani kufanya ibada ya kumshukuru Mzee katika kipindi cha uhai wake inakuwa shida kwa mke wangu yeye anasema anataka kufurahia birthday 🙄
Napokea ushauri na mawazo yenu!
[emoji3578][emoji3578][emoji122]Kama Baba alishakufa basi na kama kuhuzunika ulisha huzunika vya kutosha ..kilichobaki ni wewe kusherekea birthday ya mkeo huku ukisherekea maisha ya baba yako…furahia kuwa aliishi na uli enjoy kuwa naye….siyo kila muda unalazimisha kulia lia na kutia huruma….enjoy maisha ya mkeo na maisha ya baba yako……
Acha mambo ya kufikirika ..nani kakwambia kuwa ikifika tarehe hiyo lazima uhuzunike? Kwani uwezi fanya ibada ya furaha kumkumbuka baba yako alivyogusa maisha yako na ya wengine?
Punguza utoto bhana