Siku yake ya kuzaliwa (Birthday πŸŽ‰) Pia ni tarehe na Mwezi ambao Baba yangu mzazi alifariki! Nafanyaje?

Hizi hisia za hasira,huzuni,furaha,upweke,uoga,kutojiamini nk nk Ni mental perception tu,umeamua we kuumia,Basi Kama umeshindwa kulimudu Hilo geuza tu birthday ya baba iwe kumbukumbu ya kifo Cha mwenzio ili lisikuumize tena
 
Aisee
Hapo ni changamoto sana


Wale tuliowahi kufiwa tunakuelewa vizuri...
Hii siku huwa inakuwa nzito sana,,yaani kwa wengine ni kama inajirudia ile siku ya msiba exactly.

Mwenzio atafute tu namna ya kukuelewa..
Kama ni binadamu mwenye utu na huruma basi ataelewa..
Siku ya kumbukizi ya msiba huwa inatawala majonzi jamani si utani.

Waweza jipa moyo kwa kusherehekea siku ya mwenzio
Kwamba mzazi ameondoka,lakini Mungu amekuletea mtu mwingine siku hiyohiyo.
 
Hivi kuna umuhimu gani kusherehekea mfanano wa siku ya kuzaliwa?

Mimi tarehe ninayotumia kama ya kuzaliwa ni kesho (4/4/2023) ila hapa sina hata time nayo kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…