Siku yake ya kuzaliwa (Birthday 🎉) Pia ni tarehe na Mwezi ambao Baba yangu mzazi alifariki! Nafanyaje?

Siku yake ya kuzaliwa (Birthday 🎉) Pia ni tarehe na Mwezi ambao Baba yangu mzazi alifariki! Nafanyaje?

Wakuu hii ni seriously kdg huyu ni mke kbs miaka 10 Sasa lkn inakuwa shida wakati yeye anafurahia kuzaliwa kwako me nakuwa kwenye machungu ya kuomboleza kifa cha baba yangu!

Hii imeleta shida mara nyingi ingawaje mara nyingi nachukulia poa lkn nikitamani kufanya ibada ya kumshukuru Mzee katika kipindi cha uhai wake inakuwa shida kwa mke wangu yeye anasema anataka kufurahia birthday 🙄

Napokea ushauri na mawazo yenu!
Hizi hisia za hasira,huzuni,furaha,upweke,uoga,kutojiamini nk nk Ni mental perception tu,umeamua we kuumia,Basi Kama umeshindwa kulimudu Hilo geuza tu birthday ya baba iwe kumbukumbu ya kifo Cha mwenzio ili lisikuumize tena
 
Wakuu hii ni seriously kdg huyu ni mke kbs miaka 10 Sasa lkn inakuwa shida wakati yeye anafurahia kuzaliwa kwako me nakuwa kwenye machungu ya kuomboleza kifa cha baba yangu!

Hii imeleta shida mara nyingi ingawaje mara nyingi nachukulia poa lkn nikitamani kufanya ibada ya kumshukuru Mzee katika kipindi cha uhai wake inakuwa shida kwa mke wangu yeye anasema anataka kufurahia birthday [emoji849]

Napokea ushauri na mawazo yenu!
Aisee
Hapo ni changamoto sana

Wale tuliowahi kufiwa tunakuelewa vizuri...
Hii siku huwa inakuwa nzito sana,,yaani kwa wengine ni kama inajirudia ile siku ya msiba exactly.

Mwenzio atafute tu namna ya kukuelewa..
Kama ni binadamu mwenye utu na huruma basi ataelewa..
Siku ya kumbukizi ya msiba huwa inatawala majonzi jamani si utani.

Waweza jipa moyo kwa kusherehekea siku ya mwenzio
Kwamba mzazi ameondoka,lakini Mungu amekuletea mtu mwingine siku hiyohiyo.
 
Wakuu hii ni seriously kdg huyu ni mke kbs miaka 10 Sasa lkn inakuwa shida wakati yeye anafurahia kuzaliwa kwako me nakuwa kwenye machungu ya kuomboleza kifa cha baba yangu!

Hii imeleta shida mara nyingi ingawaje mara nyingi nachukulia poa lkn nikitamani kufanya ibada ya kumshukuru Mzee katika kipindi cha uhai wake inakuwa shida kwa mke wangu yeye anasema anataka kufurahia birthday [emoji849]

Napokea ushauri na mawazo yenu!
Hivi kuna umuhimu gani kusherehekea mfanano wa siku ya kuzaliwa?

Mimi tarehe ninayotumia kama ya kuzaliwa ni kesho (4/4/2023) ila hapa sina hata time nayo kabisa.
 
Back
Top Bottom