Hizi hisia za hasira,huzuni,furaha,upweke,uoga,kutojiamini nk nk Ni mental perception tu,umeamua we kuumia,Basi Kama umeshindwa kulimudu Hilo geuza tu birthday ya baba iwe kumbukumbu ya kifo Cha mwenzio ili lisikuumize tenaWakuu hii ni seriously kdg huyu ni mke kbs miaka 10 Sasa lkn inakuwa shida wakati yeye anafurahia kuzaliwa kwako me nakuwa kwenye machungu ya kuomboleza kifa cha baba yangu!
Hii imeleta shida mara nyingi ingawaje mara nyingi nachukulia poa lkn nikitamani kufanya ibada ya kumshukuru Mzee katika kipindi cha uhai wake inakuwa shida kwa mke wangu yeye anasema anataka kufurahia birthday 🙄
Napokea ushauri na mawazo yenu!