Sikubaliani na aina ya mabadiliko ya viongozi uliofanywa na Rais Samia. Washauri wake wamempoteza

Waziri aweza kufanya kazi popote. Tatizo tulilonalo Tanzania ni kutoheshimu na kuwapa nafasi wataalam. Waziri sio lazima awe awesome eneo analopewa kuongoza. Wizara zina wataalam wawasikilize hao. Mathalan
Mhe. Ummy Mwalimu amefanya vizuri sana kwenye Wizara ya Afya wakati yeye hakusomea mambo hayo. Lakini ukifuatilia utagundua juwa Ummy Mwalimu anawasikiliza Wataalamu na wala hawadhalilishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…