Sikubaliani na watu wanaoamini Fid Q ni genius

kwa mtazamo wangu , si genius, ila "usinitreat kama 2nd class person utakua umefanya 1st class mistake" by fareed - Am proffesional.
 
Fid ni jeshi la mtu mmoja

Sikopeshi kwa nguvu ya hoja

Niko mbio zaidi ya race na huu ujio sio wa verse moja
 
Hauna uelewa wa mambo mengi, Galileo alibishana na watu wengi sana kuhusu idea zake na kuonekana ni ovyo mpinga kanisa lakini after some years wakaja kugundua walimhkum mtu kwa kosa lao. Hiii ni kuonyesha genius anaweza ona kitu ambacho wew IQ ndogo unaona si kweli

Kama hilo jibu alilotoa FID Q, lipo kabisa katika zile UNIVERSAL LAW OF ATTRACTION,,,,,Ongeza maarifa mkuuuu.

Usikurupuke, tuendeleee kujifunza.
 
Huo ndio ubunifu ninao usemea mimi.
Kumbuka, sio watu wote wenye uwezo wa kuunga maneno na mithamiati kadhaa na kufanya msistari ya hip-hop ikasikilizika.
Ubunifu ni kufanya kitu kizuri kwakutumia kitu au vitu vingine ambavyo vilikuepo.
 
Fid Q mkaliiiiii anaandika mpaka ujue kamaanisha nini lazima akili yako ifanye kazi
 
Huwezi ku copy bila kutafuta sana.
Pia mashairi yenyewe lazima ujue kiingereza kwanza.
Kisha kuyapeleka kwenye kiswahili ili yalete maana. Viva Fid viva
 
kajibu vizuri sana swali aliloulizwa na nikki,fid genious coz on the sport kaweza kutoa jibu linalosound right na reasonable...thus what we call genious mkuu
 
Tuanzie kwenye elimu yake kwanza, laiti angesoma angefika mbali sana ni kichwa design
 
fiid q yuko sahihiwewe mleta uzi. its all about psychology.wat u think impact you.hyo inaitwa belief system.nenda kasome kwenye kitabu cha AWAKEN THE GIANT WITHIN cha TONY BOBBINS
 
 
Hakuna kitu ni baadhi ya wasukuma wenzake wanampa sifa
 
Media zina support bifu wanadai zinakuza muziki,wadau wana wasanii wabovu nyie wakali mtatoka vipi.
 
Hayakuhusu kama Rah P ,nakuja zaidi ya sister P ,Sijachuja sijavuja niiteeee MWANZA MWANZA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…