Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
NakubaliNdogo kwako mzee, maisha tumetofautiana, we buku sio hela, kuna mtu ndio maisha yake siku nzima.
Kuna mtu elfu 10 ni dhahabu kwake mwingine sio kesi,
Kuna mtu lakini ni kipengele kikubwa mnoo, mtoto anaenda shule na masempele na manyampu nyampu, kuna mwingine hiyo laki analala hotel usingizi wa siku moja na haiwazii wala nini..
Kama ni ndogo kwako si kwa wote, unaweza msaidie.
AiseeHabari
Kutoka kibaha Mpaka Bukoba nauli Laki Moja, kwenda kurudi Laki Mbili. Kula na Kulala tufanye elfu 60. Sikuchagua Kagera lakini wamenichagua kusudi ili nisiende. Nitatoa Wapi Laki tatu Mimi. Halafu hakuna uhakika kama nitapata au vipi. Nimekata tamaa
tuma namba yako pmHabari

Nenda ukikopangiwaβ¦.Habari
Kutoka kibaha Mpaka Bukoba nauli Laki Moja, kwenda kurudi Laki Mbili. Kula na Kulala tufanye elfu 60. Sikuchagua Kagera lakini wamenichagua kusudi ili nisiende. Nitatoa Wapi Laki tatu Mimi. Halafu hakuna uhakika kama nitapata au vipi. Nimekata tamaa
Usikate tamaa bado mapema sana Mkuu.Habari
Kutoka kibaha Mpaka Bukoba nauli Laki Moja, kwenda kurudi Laki Mbili. Kula na Kulala tufanye elfu 60. Sikuchagua Kagera lakini wamenichagua kusudi ili nisiende. Nitatoa Wapi Laki tatu Mimi. Halafu hakuna uhakika kama nitapata au vipi. Nimekata tamaa
Akikujibu Mimi nakuongezea 10kMimi nitatoa elfu 50, wewe utatoa ngapi ili tumsaidie ?
Malalamiko nation.Ngumu sana kuwaelewa.
Itafika mahali watataka wakafanyiwe interview vyumbani mwao.
asingeitwa pia kesi na malalamiko.
Hii nchi ya malalamiko tu.
Ungekosa bado ungelaumu ila tumefanya hivyo maana Kagera walioomba wachache na kwa kuwa una sifa ndo maana tumekupeleka huko otherwise ungekosa.Habari
Kutoka kibaha Mpaka Bukoba nauli Laki Moja, kwenda kurudi Laki Mbili. Kula na Kulala tufanye elfu 60. Sikuchagua Kagera lakini wamenichagua kusudi ili nisiende. Nitatoa Wapi Laki tatu Mimi. Halafu hakuna uhakika kama nitapata au vipi. Nimekata tamaa
Kagera Kuna gap ndo maana. Fanya ufanyavyo usikose usaili huo anyhowWanaleta mambo ya ajabu mimi pia nimewekewa kagera ilhali nilichagua morogoro na ni watu wengi wamebadilishiwa na kuwekewa hyo kagera sijajua kuna shida gani imetokea
Sisi kama familia ,tumeamua asiende Kagera, badala yake atakwenda masomoni nje ya nchi.Kagera Kuna gap ndo maana. Fanya ufanyavyo usikose usaili huo anyhow
Sisi kama familia ,tumeamua asiende Kagera, badala yake atakwenda masomoni nje ya nchi.
Ukiwa huna hela kila kitu utaona kama unaonewaHabari
Kutoka kibaha Mpaka Bukoba nauli Laki Moja, kwenda kurudi Laki Mbili. Kula na Kulala tufanye elfu 60. Sikuchagua Kagera lakini wamenichagua kusudi ili nisiende. Nitatoa Wapi Laki tatu Mimi. Halafu hakuna uhakika kama nitapata au vipi. Nimekata tamaa
Kwa upande wa physics hawana written wana oral tu.kwani una uhakika kwenye written umepita? badala ya kujipanga na written ili upate uhakika wa hiyo oral tayari umeanza kulalamika
Familia ipi kaka mi nipo hapa napigika na maisha πππ€π€Sisi kama familia ,tumeamua asiende Kagera, badala yake atakwenda masomoni nje ya nchi.