Sikujua, kumbe Bakhresa anakopa mikopo ya riba kwenye benki za biashara

Akili za watanzania hua ni kama zinakaliwa na viongozi wa dini.
 

Kwa hiyo kama ni kinyume na dini wasiseme ,sasa kazi yao kama viongozi wa dini itakuwa ni ipi?
Kazi ya kiongozi wa dini sio kuhukumu bali ni kukuhusia kuwa kitu fulani ni kibaya na haramu kwa mujibu wa dini husika na ndo hao mashehe wanacho kifanya.
Sasa jukumu la kutekeleza lipo kwa huyo anaye husiwa kutekeleza au kupuuza hiyo ni juu yake.
Kwa hiyo viongozi wa dini waache kuhusia watu kuacha dhambi? Basi dini zifutwe sasa.
Alafu kumbe kila anaye pata mafanikio ni razima achukue mkopo?

Maana jinsi ulivyo likomalia hili jambo utadhani labda kuchukua mikopo ndo kupata maendeleo.
 
Mtu wa hovyo sana wewe, kwa kuwa Backresa tajiri anakopa ndo atueleweshe kwenda kinyume na Imani?
2:109 - Wengi miongoni mwa watu wa Kitabu wanatamani lau wange kurudisheni nyinyi muwe makafiri baada ya kuamini kwenu, kwa ajili ya uhasidi uliomo ndani ya nafsi zao, baada ya kwisha wapambanukia Haki. Basi sameheni na wachilieni mbali mpaka Mwenyezi Mungu atapo leta amri yake. Hakika Mwenyezi Mungu ni Muweza wa kila kitu.
 
Ubepari ni ubinafsi. Na ubinafsi ndiyo tabia asili ya mwanadamu.
Kutaka kufanya ujamaa ni ujinga na kwenda kinyume na tabia asili ya binadamu ambayo ni ubinafsi aka ubepari
Sure mkuu asili ya mwanadamu ni ubinafsi sema basi tu watu wengi hasa kutoka kwenye jamii masikini, wanaogopa zile kauli za "leo kwangu kesho kwako" au "ishi na watu vizuri atakayekusitiri humjui", matokeo yake watu wanaishia kufanyiana ujamaa kinafiki na kwa kuigiza na si kwa kupenda kwa sababu siyo asili yetu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji14]
 
Mwinyi alitaka kuwaelimisha na kuyakumbusha kondomu yakienda kupuyanga akala makofi.
Na kweli toka Tanzania ipate uhuru raisi pekee aliyewahi pigwa kibao na watu wa dini yake kwenye shughuli ya dini yake ni Mwinyi tu swala tano ni mwinyi tu
Toka hapo walinzi wakuuu wa raisi lazima watoke dini tofauti na kabila tofauti na lake raisi
Akiwa muislamu walinzi wanakuwa wakristo ili hata akiwa msikitini wakristo wanalinda mtu wao tu hawatiririki na aya na akiwa mkristo raisi walinzi wakuu wanakuwa waislamu padre au mchungaji hata asalishe vipi wao ni kulinda mtu wao tu hawana agenda ya kusali sababu sio dini yao after all
 
Kitabu chenu quran kinasema nini kuhusu riba
 
Kama kapuuza msiende kwenda kuomba michango ya ujenzi wa misikiti au madrasa au kufuturishwa Ramadhani au kuomba asaidie wahitaji na kupanga foleni akitokea iwe msikitini ,nyumbani au barabarani au popote kuzitendea haki nafsi zenu
 
Nilidhani ustadhi ni wale watu wa dini wasiojihusisha na riba kumbe ni mdau mzuri wa benki za biashara.

Ninapenda Bakhresa afanye kuwaelimisha wale wenye misimamo mikali tuwe na taifa endelevu.
Hata hizo benk unasikia cjui benk za kiislam cjui mikopo bila riba ni uongo zipo riba Sheikh usidanganyike. Ile ni sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…