Wasio na misimamo juu ya riba, au waumini wa dini tofauti, mbona hawaliendelezi taifa, kama hicho ndio kizuizi pekee?!Nilidhani ustadhi ni wale watu wa dini wasiojihusisha na riba kumbe ni mdau mzuri wa benki za biashara.
Ninapenda Bakhresa afanye kuwaelimisha wale wenye misimamo mikali tuwe na taifa endelevu.
Wale wanayo riba ila wameipa jina lingine.Hata hizo benk unasikia cjui benk za kiislam cjui mikopo bila riba ni uongo zipo riba Sheikh usidanganyike. Ile ni sanaa
Wewe tangu umeanza kukopa mikopo ya riba unachukua nafasi ya ngapi kwa matajiri wa nchii?Nilidhani ustadhi ni wale watu wa dini wasiojihusisha na riba kumbe ni mdau mzuri wa benki za biashara.
Ninapenda Bakhresa afanye kuwaelimisha wale wenye misimamo mikali tuwe na taifa endelevu.
Dini aiwezi kumzui mtu kuwa tajiri kama ndivyo watu wengi wanakopa mikopo benki na kwenye vikoba lakini bado wako na ukata wa kipato tu riba ni dhuruma ni wizi ujambazi,dini inayo zuiya riba ni 1tu ndio kusema mafukara nchii wako kwenye hiyo dini tu?Kukumbatia dini ni kukumbatia umasikini kwa sababu dini nyingi zinahamasisha ujamaa, na kuna mstari mwembamba sana kati ya ujamaa na umasikini, hii dunia kwa mifumo ya sasa ukitaka kutajirika hauna budi kuwa bepari
Wewe unae nani kakuzuia usiende benki au kikoba ukakope kwa riba?unsjifariji tu mtu kumiliki mali sio lazima akope kwa riba hata bila mikopo mtu aweza kuwa tajiri,wewe tangu umeaza kukopa kwa riba ni tajiri namba ngapi nchi hii?Waislamu feki wasiojielewa ndio hawakopi
Halafu utakuta wao hawakopi halafu mbio wanaenda kwa Bakhresa au Mo Dewji awape msaada kujenga misikiti au madrasa au awasaidie.Wakati benki zipo na wao hawataki kukopa lakini biashara za Azam na Mo zikistawi sababu ya mikopo.wao mbio kutaka wapewe msaada ikiwemo kufuturishwa Ramadhani nk
siku za ijumaa hujaa wakiomba misaada na huku wakiwaombea dua ndeeefu za kuwa wazidi kubarikiwa kwenye biashara zao zilizojengwa na mikopo ya riba.
Njoo Ifakara tukupe shamba ulime mpunga hili chuki ikutoke,chuki yako hiyo inasabidhwa na kukosa kazi na kukata tamaa,milango ya utajiri Mungu bado kaiwacha waweze kuwa tajiri bila kunyonywa na watu wa riba kupitia jasho lako,mfano robo tatu ya watu sasa wanatumia mitaji ya riba mbona utajiri wao siuoni zaidi wanaishia kuuziwa nyumba na kuugua ugonjwa wa mayo,ila chuki uache utaugua shinikizo la damuKuna waislamu swala tano na Sigda kubwa usoni na ma ustaadhi na maimamu malofa utakuta kutwa wanapinga riba lakini kutwa hujipanga foleni kwa Bakheresa kuomba michabgo ya ujenzi misikiti na madrasa na tende na chakula cha kufuturu Ramadhani hadi michango ya kanzu ma kobaz zao wanazovaa
Sio kweli wapo wafanya biashara kibao hawakopi benki wala vikoba kila siku wanazidi kupaa tu kalaga baoMfanyabihashara hauwezi kukwepa mikopo na mikopo mizuri ni ile yenye kuweka riba
Ni mpumbavu tu ndio anaweza kuwaza hayoMtu wa hovyo sana wewe, kwa kuwa Backresa tajiri anakopa ndo atueleweshe kwenda kinyume na Imani?
Yani ilivyo baadhi ya wakirito wanachuki sana juu ya uisilamu ukweli ulivyo bakharesa aweza kopa kwa riba lakini hakuna mwenye uhakika na hilo ila huyu mkirito shida yake waisilamu wasema riba halali hili aone wote tuko levo sawa jambo ambalo aliwezekaniSasa shida yenu nini mbona sioni hapo ugomvi bakhressa anaishi maisha yake na biashara zake mnacholalamika hapa ni nini mbona kama makasiriko yamezidi
Hivi kwan si kila mtu ashinde MECHI zake mwenyeweKukumbatia dini ni kukumbatia umasikini kwa sababu dini nyingi zinahamasisha ujamaa, na kuna mstari mwembamba sana kati ya ujamaa na umasikini, hii dunia kwa mifumo ya sasa ukitaka kutajirika hauna budi kuwa bepari
Wewe uandishi wako unaonyesha ulivyo na chuki na waisilamu lakini uisilamu utazidi kuwepo tu na riba kwa imani yetu itazidi kuwa haramu ingawa wewe unataka sote tule haramu hiyo ya ribaHapa sio kesi tunaongelea hao maimamu na maustaadhi wapiga yowe misikitini tena kwenye loud speaker kuwa hata wakristo wanawaita makafiri wasikie kuwa riba haramu natunasikia mawaidha yao sababu spika zao zina nguvu sana hadi kanisani . tunaishi karibu na misikiti halafu kesho wanaenda kutaka msaada kwa Bakheresa na Mo Dewji kuomba hela za misaada toka biashara zake zimejengwa kwa mikopo ya riba kuomba wajengewe misikiti, madrasa ,wafuturishwe Ramadhani nk
Ndio tunashangaa hamna ugomvi tunawashangaa wao maustaadhi na maimamu wenye sigda kubwa usoni swala kumi hao wapiga yowe miskitini kuwa riba marufuku ni ukafiri kama ukafiri wa wakristo na wanapiga yowe tusikie wanaotuita makafiri waendekeza riba
Maswala ya wazazi wake yanatoka wapi na unauhakika gani sio matajiri jeWewe na wazazi wako si mchukue hizo riba ,ili muwe Matajiri π π π.
Yaani unfikiria watu hawana time na weqe.
Kuna shehe kapita hapa kaniomba nichangie msikiti na nimechangia msikiti na sio muislamu hapo unasemajeWewe uandishi wako unaonyesha ulivyo na chuki na waisilamu lakini uisilamu utazidi kuwepo tu na riba kwa imani yetu itazidi kuwa haramu ingawa wewe unataka sote tule haramu hiyo ya riba
Mwisho utaugua kiharusi kwa chuki yako hiyo ambayo aikupi manufaa
Kama riba ndio chimbuko la utajiri kakope kaweke kibanda chako benki au kikoba kakope ukipata utajiri ni wako hakuna muisilamu atakae kuja kwako kumuomba robo ya sembe
Kibanda chako kikipigwa mnada ni mali yako wewe na familia yako ndio mtakao lala nje shida iko wapi mbona sote tunangoja kufa tu na kufukiwa na kuoza chuki ya nini?
Kinacho takiwa kwa maisha ya mtu ni kula kunya kunywa kuoga kukojoa kulala usingizi na kuluka salakasi na mwenza usiku 6x6 mambo haya kila mtu anayapata alie soma hata ambae hajasomesha watoto wake,mengine ziada tu baada ya hayo sote kwenye udongo sisi mnaotuita masikini kisa hatukusema tukifa hatuachi kitu nyuma hata hao wasomi unao waona bora wakifa mali zote walizo pata pengine kwa wizi hakuna anae zikwa na nazo,chuki ya kutuchukia inatoka wapi?Waislamu wengi wenye maendeleo hapa Tanzania wamejitenga na imani kali za kidini. Wanapeleka watoto wao shule za seminari za kikristo aidha hapa nchini au kwenye nchi zilizoendelea.
Kunyonya na kuumiza wengine SioKukumbatia dini ni kukumbatia umasikini kwa sababu dini nyingi zinahamasisha ujamaa, na kuna mstari mwembamba sana kati ya ujamaa na umasikini, hii dunia kwa mifumo ya sasa ukitaka kutajirika hauna budi kuwa bepari
Nikukumbushe mohamed said na wakina shehe ponda kila siku wanalalamikia mfumo kristo unawaonea waislamu ambao wanaishi kwenye umaskini mkubwaHilo la ww kuwa na maendeleo au kuto kuwa nayo siwezi kudhibitisha maana binadamu anaweza kutumia mdomo wake kujimilikisha dunia wakati yeye hata pa kulala hana.
Vip kuhusu mamilioni ya wagaratia wenzio wanao nuka umasikini hapa nchini umasikini wao ni kwa sababu ya msimamo mkali?
Alafu nyinyi si mnashinda humu mna msema mzee Baghareesa kuwa ni mdini kupitiliza mpaka kwenye biashara zake tena leo amekuwa mwema kwenu na si msimamo mkali?
Kama ulikuwa ujui fahamu sasa wakirito akiwa fukara aendi kanisani kama mpaka hapo atakapo pata hela akashona suluali ya kitambaa na viatu na shati na koti na tai utamuona kabeba kitabu kwenye kwapa huku akijiona tajiri msomi mkubwa atabeba zege aibe anyanganye hili akajionyeshe kwa mchungaji kama hana chochote kanisa alimtabui ndio maana wanaabudu watu wenye helaTaja hao mashehe wanao enda kwa Bahareesa kuomba misaada.
Alafu aliye kwambia kuwa kila kinacho fanywa na tajiri basi ndo halali ni nani?
Au ww kwako mtu akisha kuwa tajiri basi ni mungu?
Tena bora ya masini,huyu ni fukara masikini awezi kuwa na chuki kiasi hiki jamaniNinadhani ungejikita kuongelea biashara na mikopo kuliko kuwashambulia wasiohusika. Kuna watu waliowahi kuja kujipanga kwako kuomba msaada? Wewe ni maskini mwenye roho chafu sana.
Hasa wa akiliUmasikini mbaya sana