Sikujua, kumbe chanjo ya uviko ni lazima na si hiyari tena?

Mm nilienda kupata huduma ya afya jamaa wakaanza mikwala yao mbuzi aisee liniwachana wakabaki wanatoa mimacho tu ...kwani ni lazima kuchanja fucken kabisa...
Ndo dawa yao kuwanyoosha hao manesi wanaofuata maagizo ya ajabu ajabu kama roboti.

Si ajabu serikali iliwaamrisha wadunge watu chanjo kwa lazima.

Siku nyingine uwatandike makofi kabisa.
 
Chanjo ni hiari hadi pale idadi fulani ikishatimia kiasi cha kuweka msukumo kwa wengine, then itakuwa lazima na malipoo juu.

Sasa hivi ni mwendo mdogo2 ili kujenga ushawishi kwa raia. Wait till next year (provided Mrusi asipofanya yake, of course!)
 
Mbona ishakuwa lazima isyotangazwa na viongozi kitambo tu. Inavyoonekana wahudumu wa afya walishapewa lengo la idadi ya kuchanja hivyo hutumia mbinu ya kushinikiza kuwa kama huna chanjo ya uviko hupatiwi huduma ili kuongeza wachwanjaji.
 
Chanjo inawekwaje kuwa ya lazima wakati kuna watu wengine wana matatizo ya kiafya yanayowafanya wawe na sababu za kutochanjwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…