kaligopelelo
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 2,832
- 4,070
- Thread starter
-
- #61
Itakuwa ni uhuni mwingine kushuhudiwa na watu katika zama zetu.Chanjo ni hiari hadi pale idadi fulani ikishatimia kiasi cha kuweka msukumo kwa wengine, then itakuwa lazima na malipoo juu.
Sasa hivi ni mwendo mdogo2 ili kujenga ushawishi kwa raia. Wait till next year (provided Mrusi asipofanya yake, of course!)
Itakuwa Hawa wahudumu wamepewa go ahead juu hili wanalolifanyaMbona ishakuwa lazima isyotangazwa na viongozi kitambo tu. Inavyoonekana wahudumu wa afya walishapewa lengo la idadi ya kuchanja hivyo hutumia mbinu ya kushinikiza kuwa kama huna chanjo ya uviko hupatiwi huduma ili kuongeza wachwanjaji.
Huwa unajishushia ka-heshima hako kadogo uliko nako!Jitahidi ujifukize ufahamu ukurudie.Great Shame of All Time!WEWE KIPAJI CHAKO NI KUBUGIA MICHANJO TU?
Tulia na uache u-paka mapepe!Wasituletee chanjo ya mchongo,mimi mbona siwatengenezei vinyago vya mpapai?
Magufuli alipokata chanjo mkamuita mshamba!Na hiko ndiyo umeibuka ugonjwa mpya wa kutoka damu wajichunge na chanjo ...
CCM ni mafii
Kuchanja siyo lazima. Kama hutaki unahama nchi na kwenda huko wasikochanja. Jitenge na jamii inayochanja wala hakuna wa kukusumbua. Lakini kama unataka kuchangamana na waliochanja wakati wewe hujachanja basi jua tatizo liko kwakoMimi pia nilisikia wilaya ya Muleba haki na mama wakienda Clinic wanaambiwa wasipochanjwa watoto wao hawahudumiwi. Kwa hiyo aki na mama wanaonyonyesha wote wamechanjwa na bila shaka watoto wao wananyonya kilichowekwa humo.
Dawa yake ni kuhama nchi unaenda huko wasikochanjaHayo machanjo yana kitu kibaya sana ndani yake.
Kama hutaki kuchanja basi usitake kuchangamana na waliochanja, kaa kwako ujipe huduma mwenyewe. Itafikia kipindi hakuna kupanda usafiri wa umma kama hujachanja, hapo ndiyo utaujua ushetani wa CCM.MACHANJO YA CORONA NI SUMU.
HAYAFAI HATA KUWAPA MBWA.
Jiwe, yule aliyeamini ushirikina badala ya science.MAREHEMU YUPI?
Mkuu wewe na Countrywide mna uhusiano? Mana lugha zenu wote ni zile zile za matusi.USHAHIDI UNAOSTAHILI WEWE NI KUPEWA FURUSHI LA KINYESI TU.
MACHANJO NI SUMU. NI UCHAFU.
Achana na yule mshirikina, yuko wapi sasa na zile imani zake za uchawi dhidi ya Science?Magufuli alipokata chanjo mkamuita mshamba!
Na bado
Hebu muite umuulize.Mkuu wewe na Countrywide mna uhusiano? Mana lugha zenu wote ni zile zile za matusi.
Jiwe ndo nani?Jiwe, yule aliyeamini ushirikina badala ya science.
Tutabanana humu humu na machanjo yenu ya kuzimu.Dawa yake ni kuhama nchi unaenda huko wasikochanja
Kama hutaki unahama nchi na kwenda huko wasikochanja.
Huwa unajishushia ka-heshima hako kadogo uliko nako!
Tunabugia kuku wa kisasa wanaochanjwa kila siku itakuwa ajabu chanjo ya corona?Acha uoga.Tena unatakiwa uchanjwe jichoni ili tuakili twako tukukae uzuri.WEWE KIPAJI CHAKO NI KUBUGIA MICHANJO TU?