Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Msiochanjwa mtaambukiza wengine mi-ebola yenu hiyo.Mchanje!Kama umechanja kwanini uwe na hofu na wasiochanja?
UKWELI ni kwamba umejaa hofu kwa sababu hayo MACHANJO hayakukingi kwa lolote.
Licha ya kubugia michanjo debe bado una hofu ya kufa. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hizi sio chanjo, ni UCHAFU WA IBILISI.
Kama hutaki kuhama basi ukae kwa kutulia.Tutabanana humu humu na machanjo yenu ya kuzimu.
Haondoki mtu. Ama zenu ama zetu.
Mtawakamata mazezeta wachache lakini hamtashinda. Na unajua.
mi nilikataa asee walikuja na beat zao nkawambia mi sibabaishwi kizembe,nkawambia ntafanya kwa hiari yangu ila sio kulazimishwa,Serikali isipo ingilia kati Kuna watu watakatwa mapanga, kwa kosa la kudunga wenzao chanjo ya mchongo
Kwani hakuwa?😂😂😂😂Magufuli alipokata chanjo mkamuita mshamba!
Na bado
Mtu pori, aliakuwa anaamini ushirikina dhidi ya Science.Jiwe ndo nani?
Hahaha.....Tunabugia kuku wa kisasa wanaochanjwa kila siku itakuwa ajabu chanjo ya corona?Acha uoga.Tena unatakiwa uchanjwe jichoni ili tuakili twako tukukae uzuri.
Ndugu anaishi Mtwara wilaya na Newala, anasema mpaka baadhi ya vijiji kama ilivyo Kitangali wanachanja nyumba hadi nyumba.
Umeshabong'oa?Msiochanjwa mtaambukiza wengine mi-ebola yenu hiyo.Mchanje!
Dogo,you have got a bigger problem on your behind!Hauwezi kueleza jambo bila lugha mgagasiko?Stupid!Haufai kupeana uzoefu nami.Nioko!Hahaha.....
Machanjo yamepanda kwenye utumbo mpana unaharisha mimavi sasa.
Bado kidogo utalawitiwa kwa kupenda kubugia machanjo ya dezo dezo kutoka ulaya.
Haya bong'oa udungwe chanjo.
Nikae kwa kutulia ili watu wadungwe sumu?Kama hutaki kuhama basi ukae kwa kutulia.
Kajambe na machanjo yako huko sheitwan majnuun.Dogo,you have got a bigger problem on your behind!Hauwezi kueleza jambo bila lugha mgagasiko?Stupid!Haufai kupeana uzoefu nami.Nioko!
Chanjo ni muhimu kwenye kuhakikisha kinga ya mwili inakuwa imara.
Elimu ya wapi hiyo?Mimi pia nilisikia wilaya ya Muleba haki na mama wakienda Clinic wanaambiwa wasipochanjwa watoto wao hawahudumiwi. Kwa hiyo aki na mama wanaonyonyesha wote wamechanjwa na bila shaka watoto wao wananyonya kilichowekwa humo.
Unashindwa kutaja hata jina la hiyo hospitali? Hayo ni majungu tu sasa.Habari za asubuhi
Nimekwazika sana baada ya Ndugu yangu Kunisimulia jinsi alivyokosa huduma hospitali kisa hajapata chanjo ya uviko. Nimeumia sana, Tanzania tumefikia hapa?
Tambueni sio wote tuko tayari kuchanjwa, wengine sisi tulishukuru na kufurahi tuliposikia kauli za viongozi wakubwa wa serikali waliposema kuwa chanjo ya uviko ni hiyari.
Kutokujua panadol imetengenezwaje ndio funguo ya kuruhusu kila dawa? Too low.Panadol unazotumiaga unajua zimetengenezwaje?!
Miungu ni wengi taja Mungu unayemzungumziaChanjo Ni ufunuo wa Mungu ili kuwaokoa wanaadamu dhidi ya covid19
Pole sana kwa ndugu yako, chanjo ya Covid-19 ni hiari na hailazimishwi, kinachotolewa ni elimu na pale mtu anaporidhia ndipo anapewa chanjo, pia hata huduma ya nyumba kwa nyumba ipo katika mfumo huo, sema wahudumu wa afya au viongozi wa wilaya wanatumia kama kigezo cha kufikia target walizowekewa kitaifa. Nimezunguka baadhi ya wilaya katika kuhamisha na kutoa elimu, nakiri kuwa hiyo changamoto ambayo nimekutana nayo na nimewashauri kuwa siyo approach nzuri, mgonjwa ana haki ya kupewa huduma.!Habari za asubuhi
Nimekwazika sana baada ya Ndugu yangu Kunisimulia jinsi alivyokosa huduma hospitali kisa hajapata chanjo ya uviko. Nimeumia sana, Tanzania tumefikia hapa?
Tambueni sio wote tuko tayari kuchanjwa, wengine sisi tulishukuru na kufurahi tuliposikia kauli za viongozi wakubwa wa serikali waliposema kuwa chanjo ya uviko ni hiyari.
Kifo chaJiwe mjambiani sa10000 anausika ukweli tumeujua na chakumfanya tunakijua watzJiwe, yule aliyeamini ushirikina badala ya science.
Sijakuita uje uchangie,una maneno machafu kama choo Cha jumuiya ungekuwa mwanamke ungekuwa kahaba.Tulia na uache u-paka mapepe!