Sikujua kwamba wanawake ni pasua kichwa kiasi hiki

Eti bila kumheshimu mwanamke hutoboi,sala zako zitazuiliwa.Sawa,sipingi mume kumheshimu mkewe na kuishi nae kwa akili,lakini mke mwenyewe awe anajiheshimu pia,kidani cha dhahabu hakifai kwenye pua ya nguruwe.Wanaume wengi wanaojielewa wamechagua kuwa single na wako very successful.
Wako wengi sana tu.Mzingatie mwamba Vladmir Putin,mwaka wa 10 yuko single since 2014.Vipi kuhusu Elon Musk,hapa Africa tuna Bilionea Dangote.Sio lazima uwe na mke ndo ufanikiwe.
 
'Kwamba akiwa kwenye maumivu na wewe automatically unapata maumivu', hapo naona kama wewe ndio tatizo hivi ama akili zenu zinalingana (pipa na mfuniko)
 
She's not the one. Akiwa ndiye huwezi kupata nae tabu. Yani kila kitu utaona it's okay na wala hautakua na makasiriko.
 
Ukiwa na mwanamke mmoja utakuwa na stress au sense of love insecurity, mwanamke ukimtilia umakin sana unampoteza na atakusumbua,

#NDOA CHONGANISHI NI KIFO#
 
Akikua ataacha labda pia ni mshamba sorry to say that , (she does not have an exposure)
 
Kaka ushawahi kulalamikiwa ufanyi vitu ambavyo hujaambiwa, ukimuuliza kwann huniambii, unajibiwa "wewe ni mwanaume inabidi ujue bila kuambiwa" kwan mi ni mungu niweze kusoma akili yako??
Tunatumia, social inference, (kufikiri Nje ya sanduku), kingine je unaweza kumfugia mbwa wa kizungu akizingua au Ndiyo unafyata mkia?
 
Peleka moto ipasavyo, kingine usimdekeze sana be neutral
 
Ha ha ha!
Mkuu utazoea tu, wanawake ndivyo walivyo.
Mke wangu mimi haendi kanisani na mimi kwa vile ati hana nguo mpya, viatu vipya au pochi mpya.
Tukienda sote msibani anajiparua utafikiri anaenda show.
Hapo ukitaka ugomvi mwambie punguza kujipodoa, tunaenda msibani.
Si mtusi hayo," unataka vi girlfriend vyako vinione mimi house mother". Hapo naufyata!
 
Wewe ndio una matatizo kuish na mwanamke ni sanaa uwe unajiswitch sometime unakua boya yaan anaweza kuamka akasema leo tule makande ukikata ugomv so mda mwingine kubal anachotaka tu ili kusitokee migogoro akitaka kuvaa suti yako ili mtoke out mwende club mpe aridhike ili asikuboe akakuharibia siku
 
Inakuaje akili zao zote zipo hivo
 
'Kwamba akiwa kwenye maumivu na wewe automatically unapata maumivu', hapo naona kama wewe ndio tatizo hivi ama akili zenu zinalingana (pipa na mfuniko)
Ndugu yangu, Kama wewe mpenzi wako anaweza kuwa yupo kweny maumivu lakini wewe wala hata hujali unadunda kama kawaida bac wewe ndo una shida na sio mm.
 
Sababu ndogo hiyo unawehuka, we ungetulia apambane, bado una safari ndefu
 
Mwanaume yeyote akiweza kuishi na mwanamke maisha yake yote kwa akili ni huyo tunasema ni very successiful, tofauti na hapo hata uwe bilionea ni failure
 
Mwanaume yeyote akiweza kuishi na mwanamke maisha yake yote kwa akili ni huyo tunasema ni very successiful, tofauti na hapo hata uwe bilionea ni failure
Sikupingi mkuu,lakini sio kila mwanamke
Mwanaume yeyote akiweza kuishi na mwanamke maisha yake yote kwa akili ni huyo tunasema ni very successiful, tofauti na hapo hata uwe bilionea ni failure
Ungebadili hii kauli kwa kusema,Mwanaume aliyebahatika kupata mke mwema ni zaidi ya kuwa bilionea,na sio kila mwanamke unaweza kuishi naye.
Kuna magube gube yanaenda kwa mume kwa lengo la kimaslahi tu,hata ulipende na kulithamini vp,hauwezi kufanikiwa kuishi nalo.Na mwanzo huwezi kuligundua kwasababu ya wanawake walivyokuwa na uwezo wa kuficha makucha yao mwanzoni.
 
Wote mna shida, km mwenyewe kaamua kufa na fashion na skonkodiko zake wewe maumivu unayopata ya nini?? Muache asonye mpk achoke.! Kikubwa mfike mnakoenda.
 
Pipe unapiga kisawasawa au una rashia rashia tu unamuacha na wadudu wake wanamnyevua nyevua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…