Sikumbuki kwa miaka ya karibuni kuwepo papa mweusi. Sikumbuki katika Uislam kuwepo kiongozi wake wa juu baada ya kifo cha Muhammad ukiachia mbali Bilal muethiopia aliyekuwa muadhini nafasi ambayo mara nyingi ni ya watu wa daraja la chini.
Kwa misingi hiyo hapo juu, je Kanisa katoliki ni taasisi ya kibaguzi sawa na uislam?
Nawasilisha.
Kwa miaka ya karibuni hakuna, sio waafrika, walatino, waarabu, wachina, east europe, north americs - huko kote ni ukame wa kutoa mapapa.Soma uzuri. Nimeandika siku za hivi karibuni. Hso unaosema nawajua.
Sikumbuki kwa miaka ya karibuni kuwepo papa mweusi. Sikumbuki katika Uislam kuwepo kiongozi wake wa juu baada ya kifo cha Muhammad ukiachia mbali Bilal muethiopia aliyekuwa muadhini nafasi ambayo mara nyingi ni ya watu wa daraja la chini.
Kwa misingi hiyo hapo juu, je Kanisa katoliki ni taasisi ya kibaguzi sawa na uislam?
Nawasilisha.
Kwa kulijibu swali lako kitaalamu ni kwamba; Afrika ni moja kati ya mabara saba yanayounda ulimwengu huu na kwa hesabu rahisi tu ni kwamba bara hili linaundwa na mataifa yasiyozidi 54.Sikumbuki kwa miaka ya karibuni kuwepo papa mweusi. Sikumbuki katika Uislam kuwepo kiongozi wake wa juu baada ya kifo cha Muhammad ukiachia mbali Bilal muethiopia aliyekuwa muadhini nafasi ambayo mara nyingi ni ya watu wa daraja la chini.
Kwa misingi hiyo hapo juu, je Kanisa katoliki ni taasisi ya kibaguzi sawa na uislam?
Nawasilisha.
Sioni ulichosema kihusianacho na swali langu. Ila pamoja na kelele zote umesahau kiwa ni Afrika hiyo hiyo yenye idadi kubwa ya wakatolikiKwa kulijibu swali lako kitaalamu ni kwamba; Afrika ni moja kati ya mabara saba yanayounda ulimwengu huu na kwa hesabu rahisi tu ni kwamba bara hili linaundwa na mataifa yasiyozidi 54.
Kwa kumbukumbu za umoja wa mataifa mpaka sasa kuna nchi wanachama 193/194 kama nitakuwa sijakosea. Kwahiyo chukua hiyo total number toa hiyo 54 utapata idadi ya nchi ambazo hazipo ndani ya bara la Afrika kuwa ni nyingi kuliko zilizopo Afrika.
Ukielewa hapo utaelewa probability ya kupata Papa kutoka Afrika ikoje ukiachana na mambo mengine ya ndani ambayo yapo too technical hata nikikuelezea utapasuka kichwa na bado hutaelewa
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani hachaguliwi kwa kelele wala idadi kubwa ya waumini wala shinikizo lolote lile.Sioni ulichosema kihusianacho na swali langu. Ila pamoja na kelele zote umesahau kiwa ni Afrika hiyo hiyo yenye idadi kubwa ya wakatoliki
Umeshinda kwa nguvu mwanangu japo si hoja.Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani hachaguliwi kwa kelele wala idadi kubwa ya waumini wala shinikizo lolote lile.
Nimekupa kielelezo hicho cha idadi ya nchi zilizopo Afrika na zingine zilizobaki ulimwenguni utaona uwiano wa aslimia chache zinabakia Afrika na nafasi kubwa zaidi inabaki kwa nchi zilizo Afrika hiyo ndiyo mantiki ya hizo takwimu nilizokupa.
Kwahiyo kokotoa kwa kuzingatia kielelezo cha idadi ya nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa, nchi za Afrika ni aslimia ngapi? Na nchi zilizo Afrika zina asilimia ngapi halafu tafuta probability
Mkuu mifumo ya upatikanaji wa Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani imeachana pakubwa sana na upatikanaji wa viongozi wa kisiasa.Umeshinda kwa nguvu mwanangu japo si hoja.
Sijui kama unaelewa na mantiki ya hoja unayojitahidi kujadili kwa pumba. Nadhani nimeongelea ubaguzi wa kidini na kimfumo ambao umo kwenye dini zote nyemelezi za kigeni. Sijui usichoelewa hapa ni nini mwanangu hadi unaota mapovu bila sababu yoyote ya msingi japo iwe nusu au moja.Mkuu mifumo ya upatikanaji wa Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani imeachana pakubwa sana na upatikanaji wa viongozi wa kisiasa.
Ndiyo maana ulipokuja na hoja ya kelele na idadi kubwa ya waamini nikaona hata nikikuwekea hoja za ndani hutaweza kuelewa ndiyo maana nikakupa huo mfano wa kuanzia ambao hata mtu asiyelijua kanisa anaweza kuelewa.
Sababu Afrika inaenda kushirikiana na mabara mengine 6 ili kupata kiongozi mmoja, wawakilishi wa nchi 54 wanashirikiana na wawakilishi wa mataifa 100 kupata kiongozi mmoja.
Sasa nikikuleta kwenye mambo ya ndani kama kukueleza habari za Makardinali na sifa za hao Makardinali wanaoshiriki huo mchakato kwa kujua Afrika itatoa wangapi na the rest of the World itatoa wangapi tutapoteana tu.
Na uliposema nimeshinda tayari imeanisha kwamba upo kwenye ligi na sio nia ya kujengewa uelewa juu ya jambo hili
Ngozi nyeusi kwa maana ya rangi ni kweli hajawahi tokea lkn nyeusi kwa maana ya Afrika alishawahi tokea papa kutokea Afrika.Sikumbuki kwa miaka ya karibuni kuwepo papa mweusi. Sikumbuki katika Uislam kuwepo kiongozi wake wa juu baada ya kifo cha Muhammad ukiachia mbali Bilal muethiopia aliyekuwa muadhini nafasi ambayo mara nyingi ni ya watu wa daraja la chini.
Kwa misingi hiyo hapo juu, je Kanisa katoliki ni taasisi ya kibaguzi sawa na uislam?
Nawasilisha.
Afrika nchi gani?Ingawa sio hivi karibuni lakini Saint Victor 1, Saint Miltiades, Saint Gelasius walizaliwa Afrika. Pope Francis alitokea Latin America.
Lakini kama ulivyoulizwa hapo juu, itakusaidia nini?
Amandla...
Sasa kipindi kile mtu mweusi anatokea wapi..bwashee...miaka takribani 2000 iliyopita kwenye mitaa ya Wayaudi..In fact Wanafunzi wote wa Yesu walikuwa Wayahudi...Hamna wazungu,Waarabu, wachina,etcYesu mwenyewe alikua mbaguzi hakuwahi kuwa na mwanafunzi mweusi, kwahiyo ukristo upo kwenye misingi ya ubauzi kitambo
Si kweli. Kwani hao walatini waliotawala upapa nao wanatokea wapi kama ishu ni uyahudi au hujui hiil zengwe lilivyoanzishwa usaidiwe?Sasa kipindi kile mtu mweusi anatokea wapi..bwashee...miaka takribani 2000 iliyopita kwenye mitaa ya Wayaudi..In fact Wanafunzi wote wa Yesu walikuwa Wayahudi...Hamna wazungu,Waarabu, wachina,etc
Saint Victor 1 huyu alikuwa ni mzaliwa wa Libya (Roman Libya kipindi kile)Afrika nchi gani?
Nani kakwambia libya ni weusi? Japo wako Afrika, siku zote wanataka waitwe waarabu sawa na wajinga wengi wa kiafrika waliopwakia mila za kiarabu kwa kisingizio cha dini.Saint Victor 1 huyu alikuwa ni mzaliwa wa Libya (Roman Libya kipindi kile)
Kwan Papa Francis ni Mlatino..!?..Ni kweli walatino walitawala Upapa...lkn haimaniishi wapo entitled kuwa watawala wa position ya Upapa.Si kweli. Kwani hao walatini waliotawala upapa nao wanatokea wapi kama ishu ni uyahudi au hujui hiil zengwe lilivyoanzishwa usaidiwe?
Kanisa lipo far na upeo wako.Wazungu wa Ulaya na wale wa America wana YESU.
Waarabu woote wana MOHAMMED.
Waafrika weusi tuna shetani na mfano wa picha yake ni ya kutisha,ina mapembe na meno chonge.
NB;
Mgawanyo wa hayo madaraja umefanywa na Wazungu. Hairuhusiwi mtu wa Shetani akapewa hisa za YESU,bali aendelee kuwa mpenzi mtizamaji na msikilizaji.
Ni kweli Libya sio ngozi nyeusi.Watu weusi wamekuwa regarded kama low classed beings..lkn hiyo haiondoi uhalisia kwamba hawezi tokea Papa Mweusi..In fact Cardinal Rugambwa ndo alikuwa cardinali wa kwanza mweusi...lkn kwa sasa wapo makardinali wangapi weusi..so ni suala la muda.Nani kakwambia libya ni weusi? Japo wako Afrika, siku zote wanataka waitwe waarabu sawa na wajinga wengi wa kiafrika waliopwakia mila za kiarabu kwa kisingizio cha dini.
Sikumbuki kwa miaka ya karibuni kuwepo papa mweusi. Sikumbuki katika Uislam kuwepo kiongozi wake wa juu baada ya kifo cha Muhammad ukiachia mbali Bilal muethiopia aliyekuwa muadhini nafasi ambayo mara nyingi ni ya watu wa daraja la chini.
Kwa misingi hiyo hapo juu, je Kanisa katoliki ni taasisi ya kibaguzi sawa na uislam?
Nawasilisha.