Chifu mkuu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2025
- 857
- 926
Ninachojua ni kwamba hata chadema ikipata nguvu ya kiongoza nchi itawabagua CCM na vyama vingine!Halafu itakusaidia nini ukijua! Kama serikali yako ya ccm kila siku inawabagua waziwazi wananchi na viongozi wa vyama vya upinzani; kwa nini usilete hoja tuwajadili kwanza hawa wabaguzi wetu wa ndani kabka ya kukimbilia kwa hao wa nje?
Acha uongo. Huo ubaguzi wa chadema umeupata wapi wakati hawajawahi kupata hayo madaraka?Ninachojua ni kwamba hata chadema ikipata nguvu ya kiongoza nchi itawabagua CCM na vyama vingine!
Kwa ufupi wanachokifanya CCM na chadema walipata nafasi watafanya hichohicho.
Wakenya walipiiondoa kanu madarakani walipata nini zaidi ya kuuana wenyewe kwa wenyewe?! Namaanishanisha wafuasi wa Raila Ofinga na Mwai Kibaki ambao mwanzo walikuwa pamoja kwenye mkakati wa kuiondoa KANU madarakani walivyofanikiwa miaka michache wakaanza kupigana wenyewe kwa wenyewe.!
Ni cheo Cha kiimani.Inasemekana myaka ya hapo nyuma pamewahi tokea mapapa weusi watatu. Huku mmoja akihudumu kwa myaka kumi. Na wengine wakihudumu kwa myaka isiyozidi mitano kwa Kila mmoja.
Pia kwenye biblia Kuna watumishi wengi tu weusi mfano Petro Kama Petro alikuwa ni mtu mweusi akitajwa Kama Petro mtitu au Petro Nigeria katika vitabu tofauti vya biblia.
Well after all... Upapa unahisu Nini mpaka mpiganie mtu mweus kwenda pale ?? Na aliye waambia kile cheo ni cheo Cha kiimani ni Nani ???
BIBLIA ZENYU ZINAWAAMBIA LOLOTE KUMHUSU PAP AU MNAJOCHETUA TU WAZEE ????
KILE NI CHEO CHA KITAIFA NA SI KIIMANI TAFUTENI UKUU KWENYE MATAIFA YENYU WENYEWE WAZEE.
Una maana imani inaruhusu ubaguzi kama huu unaoongelewa hapa mwanangu au hujui na huna jibu?Ni cheo Cha kiimani.
Ubaguzi...hiyo ni issue ya binadamu..mwenyewe...Ukatoliki kama dhehebu la kikristu...haisupport..ubaguzi..na hamna mafundisho ya Kanisa..yanayoekeza ubaguzi.Una maana imani inaruhusu ubaguzi kama huu unaoongelewa hapa mwanangu au hujui na huna jibu?
Hujui usemacho. Kasome biblia namna watoto wa Ham walivyogeuka weusi kama alama ya laana. Kwanini hawakugeuka weupe kama alama ya laana? Nenda kwenye kiingereza uone maana na matumizi ya rangi nyeusi ukilinganisha na nyeupe mwanangu hata kwenye uislam.Ubaguzi...hiyo ni issue ya binadamu..mwenyewe...Ukatoliki kama dhehebu la kikristu...haisupport..ubaguzi..na hamna mafundisho ya Kanisa..yanayoekeza ubaguzi.
Labda kama unataka tuanze discussion ya conspiracy theories ambazo ww mwenyewe huna facts.
Ni cheo Cha kiimani.
Kasome pia historia ya tafsiri halisi ya Biblia...Biblia halisi haikuandikwa kwa kiingereza.Hujui usemacho. Kasome biblia namna watoto wa Ham walivyogeuka weusi kama alama ya laana. Kwanini hawakugeuka weupe kama alama ya laana? Nenda kwenye kiingereza uone maana na matumizi ya rangi nyeusi ukilinganisha na nyeupe mwanangu hata kwenye uislam.
Hujui usemacho. Kasome biblia namna watoto wa Ham walivyogeuka weusi kama alama ya laana. Kwanini hawakugeuka weupe kama alama ya laana? Nenda kwenye kiingereza uone maana na matumizi ya rangi nyeusi ukilinganisha na nyeupe mwanangu hata kwenye uislam.
Hilo si jibu. Nani hajui hili? Hatuongelei lugha ya kwanza ya biblia wala Constantine aliyamuru iandikweKasome pia historia ya tafsiri halisi ya Biblia...Biblia halisi haikuandikwa kwa kiingereza.
Umeupata mstari niliokupa au umegota?Kasome Mwanzo 9:24-25 kwa kuanzia
Kama ujuavyo ni sahihi, sasa ilikuwaje wakalaaniwa na kuwa weusi?Ipo hivi ... Alolaaniwa ni majukumu wa NUHU . ambae alikuwa ni mtoto wa Sehemu (baba wa watu Weus)
Hangeweza kumlaaninshemu akati sehemu alishabarikiwa na MUNGU (MUNGU AKAMBARIKI NUHU NA WANAWE WATATU SHEMU, HAMU NA YULE MWINGINE)
Saafi tupo pamoja ..... ANZIA mwanzo 9:1 kaka.
Utaona hao watoto wote watatu na baba yao wamebarikowa sawa Kaka ??
Badae nenda 9: 22 .. HAMU alipokosea kwa kuona uchi wa babae.
Kisha Nena 9:25 NUHU akamlaani majukumu (kaanani) wake na sio mtoto wake(ambae ni HAMU baba wa weusi alomchungulia nabaye) ... Unajua kwanini hakumlaani HAMU mtenda kosa kiongozi ???
Sabab pale 9:1 MUNGU alishabariki hao wote Sasa huez laani alipobariki MUNGU ... So Kama ushawah sikia uovunwa baba unapatilizwa kwa mwana ndiyo hapo ...
Kaka Kama upo na Mimi niruhusu nikumalizie hili somo kaka.
Kama ujuavyo ni sahihi, sasa ilikuwaje wakalaaniwa na kuwa weusi?
Kuwabariki hakuzuii kuwalaani sawa na kuwaumba na kuwaua, kuwazaa na kuwaumbia shetani ili awapoteze wala kupatiliza watu kwa kuadhibu hata vizazi vivyohusika na uovu wowote mbali na kutengeneza ujinga uitwao dhambi ya asili.Saafi tupo pamoja ..... ANZIA mwanzo 9:1 kaka.
Utaona hao watoto wote watatu na baba yao wamebarikowa sawa Kaka ??
Badae nenda 9: 22 .. HAMU alipokosea kwa kuona uchi wa babae.
Kisha Nena 9:25 NUHU akamlaani majukumu (kaanani) wake na sio mtoto wake(ambae ni HAMU baba wa weusi alomchungulia nabaye) ... Unajua kwanini hakumlaani HAMU mtenda kosa kiongozi ???
Sabab pale 9:1 MUNGU alishabariki hao wote Sasa huez laani alipobariki MUNGU ... So Kama ushawah sikia uovunwa baba unapatilizwa kwa mwana ndiyo hapo ...
Kaka Kama upo na Mimi niruhusu nikumalizie hili somo kaka. Father of All
Kama ujuavyo ni sahihi, sasa ilikuwaje wakalaaniwa na kuwa weusi?
Dogo naona kama unaishi nje ya Afrika. Kama uko kwenye nchi yoyote ya kimagharibi au kimashariki au India na kwingineko, utakuwa unajitoa uelewa tu na kuwa mbishi bila sababu mwanangu.Taratibu kaka usijari .......
Kuwa mweusi siyo laana.
Ni mazingira ya kuishi tu na ipo bayana hata kwenye biblia ....
Maneno Kama MIZRAIM, ETHIOPIA NA NIGERIA , HAMU na mengine yote hirejelea ngozi kuchomwa na jua. Na siyo kulaaniwa.
Sasa niruhusu nikumalizie somo la kukuonyesha kuwa Mwafika hakulaaniwa.
Na nikueleze alolaaniwa aliishia wapi kala.
Kuwabariki hakuzuii kuwalaani sawa na kuwaumba na kuwaua, kuwazaa na kuwaumbia shetani ili awapoteze wala kupatiliza watu kwa kuadhibu hata vizazi vivyohusika na uovu wowote mbali na kutengeneza ujinga uitwao dhambi ya asili.
Naisoma hata 'kulaani'. mwanangu. Kwa Waswahili ni kupoteza muda wako na kujitoa ufahamu mwanangu.Haha husomi biblia kaka. Unasema mawazo yako ...
Nimesema Soma mwanzo 9:1.
Nenda mwanzo 9: 22
Kisha mwanzo 9: 25
Alafu uniruhusu nimalizie kukuelekeza juu ya kaanani alolaaniwa yulwapi Hadi Leo hii.
umeelewa eeeeh? Cool mwanangu.Kuwabariki hakuzuii kuwalaani sawa na kuwaumba na kuwaua, kuwazaa na kuwaumbia shetani ili awapoteze wala kupatiliza watu kwa kuadhibu hata vizazi vivyohusika na uovu wowote mbali na kutengeneza ujinga uitwao dhambi ya asili.