umeelewa eeeeh? Cool mwanangu.
Unazani wanachguana kikabila huko?Sikumbuki kwa miaka ya karibuni kuwepo papa mweusi. Sikumbuki katika Uislam kuwepo kiongozi wake wa juu baada ya kifo cha Muhammad ukiachia mbali Bilal muethiopia aliyekuwa muadhini nafasi ambayo mara nyingi ni ya watu wa daraja la chini.
Kwa misingi hiyo hapo juu, je Kanisa katoliki ni taasisi ya kibaguzi sawa na uislam?
Nawasilisha.
Yep. Kabila 'jeupe' dhidi ya jeusi na mengine, zee dhidi ya vijana na mengine mengi kama hayo.Unazani wanachguana kikabila huko?
Kwani Yesu alikuja Africa akiwa mtoto au mtu mzima? Au kulikuwa na Wayahudi weusi? Hivi ule mkoba aliokuwa akibeba YUDA ISKARIOTE alivyokuwa akidokoa dokoa, je angekuwa mbongo si.wangekuwa wanalala njaa hata Ile mikate yakuombea wasingeipata.Yesu mwenyewe alikua mbaguzi hakuwahi kuwa na mwanafunzi mweusi, kwahiyo ukristo upo kwenye misingi ya ubauzi kitambo
Waulize wamisri waliompokea alipokuwa akikimbia mauaji dhidi yake. Ule mkoba ulikuwa na mavazi ya bwana mkubwaππππKwani Yesu alikuja Africa? Au kulikuwa na Wayahudi weusi? Hivi ule mkoba aliokuwa akibeba YUDA ISKARIOTE alivyokuwa akidokoa dokoa, je angekuwa mbongo si.wangekuwa wanalala njaa hata Ile mikate yakuombea wasingeipata.
Sasa misri alienda akiwa na miaka 30 au alienda baba na mama yake?Waulize wamisri waliompokea alipokuwa akikimbia mauaji dhidi yake. Ule mkoba ulikuwa na mavazi ya bwana mkubwaππππ
π³π³π³π³π³π³π³π³π³π³π³π³π³π³π³π³π³ sina la kukujuibu, maana unalo jibu mwenyewe alikwenda na nani na kwanini mwananguSasa misri alienda akiwa na miaka 30 au alienda baba na mama yake?
Kama mtu mweusi ni nyani nawe kadhalika.Siku wakimpa nyani aliechangamka ndio mtajua dini kwa wazungu ni desturi sio imani...
Hayo matusi atakayoporomeshewa mpaka mtabubujikwa na machozi.....
Najivunia unyani wangu...Kama mtu mweusi ni nyani nawe kadhalika.
Sikujua najadili na nyani. Basi, kajadiliane na nyani wenzakoNajivunia unyani wangu...
Kesi ya ngedere unampelekea nyani......Sikujua najadili na nyani. Basi, kajadiliane na nyani wenzako
Senzi wee. Mie wala si ngedere au nyani kama wewe bali Father of all youππππππKesi ya ngedere unampelekea nyani......
Mkuu una uhakika unachochangia? Yesu alikuwa mtu mweusi na wafuasi wake wengi walikuwa weusi. Kafanye utafiti wako vizuri.Yesu mwenyewe alikua mbaguzi hakuwahi kuwa na mwanafunzi mweusi, kwahiyo ukristo upo kwenye misingi ya ubauzi kitambo
Mkuu kukusahihisha ukristo ulikuwepo Afrika zaidi ya miaka 2000 sio miaka 150, uliyo taja. Tafadhali fanya utafiti wa kina kwanza. Hoja yako ya mahusiano uchumi na udini pia haina Mizania sawa.come on, man, Kanisa Katoliki lina miaka karibia 2000, Kanisa la kwanza tanzagiza lilijengwa miaka < 150 iliyopita, halafu unaquestion kwa nini hakuna Papa mweusi? na kwa nini kutokuwa na mtu mweusi popote kunafanya mtu kuwa racist? watu weusi ni asilimia ngapi ya world population? kwa nini hauhoji racism against black people in afrika by black people? angalau ungeuliza kwa nini hakuna Papa ktk damaskus Siria kidogo ungekuwa na hoja kwani Kanisa la Damascus lina miaka zaidi ya 2000, afrika ukatoliki umeingia karne moja tu iliyopita leo unataka iwe sehemu ya Kanisa kila mahali ?
kwa nini hauquestion wahindi tanzagiza hawafiki hata laki 2 lkn wanamiliki >85% of the economy mbona hauiti racism tanzagiza?
π³π³π³π³π³π³π³π³ππππππSenzi wee. Mie wala si ngedere au nyani kama wewe bali Father of all youππππππ
Ni muargentina.Kwan Papa Francis ni Mlatino..!?..Ni kweli walatino walitawala Upapa...lkn haimaniishi wapo entitled kuwa watawala wa position ya Upapa.
Yesu alikuwa ni black, slizaliwa Ethiopia, waxungu walipinfua storyYesu mwenyewe alikua mbaguzi hakuwahi kuwa na mwanafunzi mweusi, kwahiyo ukristo upo kwenye misingi ya ubauzi kitambo