JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 8,556
- 18,428
TZ haijawahi kuwa na, Rais mwenye asili ya kiasia, je TZ ni nchi ya kibaguzi?Sikumbuki kwa miaka ya karibuni kuwepo papa mweusi. Sikumbuki katika Uislam kuwepo kiongozi wake wa juu baada ya kifo cha Muhammad ukiachia mbali Bilal muethiopia aliyekuwa muadhini nafasi ambayo mara nyingi ni ya watu wa daraja la chini.
Kwa misingi hiyo hapo juu, je Kanisa katoliki ni taasisi ya kibaguzi sawa na uislam?
Nawasilisha.
Siyo sk za karibuni, hakujawahi kuwa na papa mweusi. Kuuliza ubaguzi RC ni sawa na kuuliza makofi polisiSikumbuki kwa miaka ya karibuni kuwepo papa mweusi. Sikumbuki katika Uislam kuwepo kiongozi wake wa juu baada ya kifo cha Muhammad ukiachia mbali Bilal muethiopia aliyekuwa muadhini nafasi ambayo mara nyingi ni ya watu wa daraja la chini.
Kwa misingi hiyo hapo juu, je Kanisa katoliki ni taasisi ya kibaguzi sawa na uislam?
Nawasilisha.
Yep. Karibia dini zote nyemelezi za kigeni zina uzwazwa na jinai hii dhidi ya watu weusi japo hakuna watu weupe bali wa pink na hao waasia ambao sijui tuwaiteje kama siyo maji ya kunde tu.Siyo sk za karibuni, hakujawahi kuwa na papa mweusi. Kuuliza ubaguzi RC ni sawa na kuuliza makofi polisi
Hiyo dhana iliyopo kichwani kwako (Ubaguzi) haiko applicable kwenye uteuzi wa Papa. Ila kwakuwa akili yako tayari umeielekeza huko hakuna namna utaeleweshwa utaelewa.Sijui kama unaelewa na mantiki ya hoja unayojitahidi kujadili kwa pumba. Nadhani nimeongelea ubaguzi wa kidini na kimfumo ambao umo kwenye dini zote nyemelezi za kigeni. Sijui usichoelewa hapa ni nini mwanangu hadi unaota mapovu bila sababu yoyote ya msingi japo iwe nusu au moja.
Heri kipofu wa macho kuliko ubongo. Kwa msimamo huu, sina la kuongeza kuendelea kutwanga maji kwenye kinu nikitegemea kupata unga.Hiyo dhana iliyopo kichwani kwako (Ubaguzi) haiko applicable kwenye uteuzi wa Papa. Ila kwakuwa akili yako tayari umeielekeza huko hakuna namna utaeleweshwa utaelewa.
Kwa hizo lugha unazotumia ni hatua ya mwisho ya mtu aliyekosa hoja ndiyo huanza kutoa lugha za matusi na kebehi.
Unawatukanisha wazazi wako na jamii yako kwa ujumla kwa kutokupatia malezi stahiki
Unaweza kuwaamini hawa akina Muhamed ya Yesu na uabunwasi wao mwanangu. Shida siyo Yesu au Mohamed kuwa weusi bali kufichua ukoloni wa kimila tulioletewa kwa kuwatumia. Kama Yesu alikuwa mweusi basi na Muhamed alikuwa mweusi.Mengine si ya kucheka,ila ndio huna budi, Ila imegundulika kua Jesus aka Nabii Issa alikuwa mweusi. Na hili alilisema Mtum wetu Muhammad Sallah llahu alaihi wasalaam, Kuwa Jesus alikuwa mweusi na alitoa mfano wa rangi yake kwa kabila lililokuwepo ambao ni weusi.
Sikumbuki kwa miaka ya karibuni kuwepo papa mweusi. Sikumbuki katika Uislam kuwepo kiongozi wake wa juu baada ya kifo cha Muhammad ukiachia mbali Bilal muethiopia aliyekuwa muadhini nafasi ambayo mara nyingi ni ya watu wa daraja la chini.
Kwa misingi hiyo hapo juu, je Kanisa katoliki ni taasisi ya kibaguzi sawa na uislam?
Nawasilisha.
😂😂😂Kwani Yesu alikuja Africa? Au kulikuwa na Wayahudi weusi? Hivi ule mkoba aliokuwa akibeba YUDA ISKARIOTE alivyokuwa akidokoa dokoa, je angekuwa mbongo si.wangekuwa wanalala njaa hata Ile mikate yakuombea wasingeipata.
Halafu akae akijua msikiti mkuu wa makka ulishwahi kuwa na imam mkuu ambae ni mweusiAliekwambia uadhini ni Nafasi ya chini ni nani au umesoma wapi??
Unajua hiyo nafasi ina heshima Gani kwenye Mafundisho ya kiislamu??
Au unachukulia mfano wa misikiti ya hapo mtaani kwako ku generalize jambo zima??
Fatilia waadhini wa Misikitini kama makka na madina namna wanavyopatikana na heshima yao.
Umekaza fuvu wewe😄😄Umeshinda kwa nguvu mwanangu japo si hoja.
Yesu wa kwenye jambo na vijamboMkuu una uhakika unachochangia? Yesu alikuwa mtu mweusi na wafuasi wake wengi walikuwa weusi. Kafanye utafiti wako vizuri.
khaa, wamlinganisa pope na mtume muhammad?Sikumbuki kwa miaka ya karibuni kuwepo papa mweusi. Sikumbuki katika Uislam kuwepo kiongozi wake wa juu baada ya kifo cha Muhammad ukiachia mbali Bilal muethiopia aliyekuwa muadhini nafasi ambayo mara nyingi ni ya watu wa daraja la chini.
Kwa misingi hiyo hapo juu, je Kanisa katoliki ni taasisi ya kibaguzi sawa na uislam?
Nawasilisha.
Ningetamani kujua namna wanavyopatikana.Aliekwambia uadhini ni Nafasi ya chini ni nani au umesoma wapi??
Unajua hiyo nafasi ina heshima Gani kwenye Mafundisho ya kiislamu??
Au unachukulia mfano wa misikiti ya hapo mtaani kwako ku generalize jambo zima??
Fatilia waadhini wa Misikitini kama makka na madina namna wanavyopatikana na heshima yao.
Bora iwe hivyo tu kwakua sina hisa kwenye hiyo biashara.Kanisa lipo far na upeo wako.
Roman catholic ni empire ya Natalian sasa empire ya walian unatakaje iongozwe na watu weusi?Sikumbuki kwa miaka ya karibuni kuwepo papa mweusi. Sikumbuki katika Uislam kuwepo kiongozi wake wa juu baada ya kifo cha Muhammad ukiachia mbali Bilal muethiopia aliyekuwa muadhini nafasi ambayo mara nyingi ni ya watu wa daraja la chini.
Kwa misingi hiyo hapo juu, je Kanisa katoliki ni taasisi ya kibaguzi sawa na uislam?
Nawasilisha.