Sikuwahi kujua majina ya wanyakyusa yana maana๐Ÿ˜€

Tena maana nzuri sana
 
Wanyakyusa huwa nawakubali kwenye majina maana wao hata jina la mwanzo huwa wanatumia la asili ๐Ÿ‘๐Ÿพ๐Ÿ‘๐Ÿพ๐Ÿ‘๐Ÿพ
 
Hakika wee ni mwalimu wa kiswahili uko vzr mm hvyo vitenzi vilainishi sijui sijui kbsa na Nina phd
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ