Silaa, Polepole na Gwajima waitwa Kamati Kuu ya CCM kujieleza

Mkuu ningewaona wa maana CCM kama wangewaita akina Diallo,Nape, Bulembo ambao nao walitoa maneno yasiyo na staha hii ni double standard ya wnye CCM kutaka kukomoana kwa wasiojikomba na wasema ukweli
 
Hapo nyuma walimkosoa aliyekuwa mwenyekiti wake na je sasa kiko wapi?
 
Inaweza kuwa fursa kwa Chadema hii late them check those peoples if they're assets or...........!.
 
Alihoji Bernad Membe kuhusu haki yake ya kuwa mgombea Urais kwenye chama 2020 na matokeo yake alifukuzwa uwanachama.
Alihoji Bernad Membe kuhusu haki yake ya kuwa mgombea Urais kwenye chama 2020 na matokeo yake alifukuzwa uwanachama.
Dogo ishu ya Membe huijui vizuri. Kwanini usitafute thread humu ambayo alifanya mahojiano na kituo kimoja hapa nchini na akamwaga nyongo yote?


#JPM ATABAKI JUU!!!
 
Jerry Silaa na Gwajima toka waojiwe bungeni wamekuwa kama wamemwagiwa maji!
Sasa ni zamu ya Polepole. Wiki ijayo hatutamsikia tena!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…