Wamekazana kuwaandama madereva..tunazoita barabara kuu ni nyembamba mno zilipaswa kuwa barabara za mitaani.
..barabara zote kuu zinapaswa kuwa za njia mbili kila upande, au zaidi.
..ajali za uso kwa uso zimekuwa zikitokea kwa miaka mingi na chanzo chake tunakijua lakini tumejizima data.
Ahaaa Kwa hyo unataka kusema ni suala la kujitoa muhanga kuwahi...wembamba wa barabara umechangia hapo.
..barabara ingekuwa njia mbili kwenda mbili kurudi ajali nyingi za ku-overtake zingepungua.
Hivi hiyo taarifa umeisikiliza na kuielewa kweli?Kwa hyo huyo dereva kapata ajali akiwa na speed ya 40?
Kwanini dereva aki overtake akutane na gari uso kwa uso?Kuovatake ina ruhusiwa ila unaovatake wapi na vipi
Inasikitisha sana lakini hakuna usafiri uliosalama ajali inapotokea.Inasikitisha sana, masikini wanakufa vifo vibaya sana kwa sababu hawawezi kupanda ndege au SGR.
hata kwenye hao raia kunaweza kua na watu dhalimu kushinda tunaowadhaniaPole kwa raia wote,ila wauaji wakutwe na chakuwakuta.
Ahaaa Kwa hyo unataka kusema ni suala la kujitoa muhanga kuwahi.
Sawa barabara nyembamba lakini si upo upande wako wa kushoto?
Sasa unapokwenda kuomba kulia ili ukae mbele nenda Kwa tahadhari ndugu Kuna roho za watu.wana familia,Wana malengo .kufa sio kuzuri tena Kwa uzembe ambao ungezuilikaa.
Dereva anakutana na gari uso kwa uso wakati wa ku-overtake kwa sababu ya kukadiria vibaya kasi na umbali wa gari linalokuja mbele yake, ambapo hushindwa kumaliza mchakato huo kabla ya njia kufungana. Hatari hii huongezeka zaidi anapojaribu kupita magari kwenye maeneo yenye kona kali, miinuko au anapovunja sheria kwa kupuuza mistari ya njano inayomkataza kupita.Hivi hiyo taarifa umeisikiliza na kuielewa kweli?
Kwanini dereva aki overtake akutane na gari uso kwa uso?
Zungumzia kesi hii ya leo.kosa la nani..kuendesha ktk barabara za Tanzania ni kujitoa muhanga, una risk maisha yako.
..unaweza kuendesha kwa tahadhari zote lakini hiyo hai-guarantee kwamba madereva wengine nao wana umakini.
..Na barabara haitoi nafasi kwa madereva kurekebisha makosa yao. Yaani dereva akikosea kidogo basi balaa kutokea ni 100%.
..Wakati mwingine dereva anaweza kuwa mchovu barabarani, na sio mzembe. Sasa akiwa ktk barabara yenye lane mbili , au zaidi, akifanya makosa, madereva wenzake wana eneo la kutosha kumkwepa, au hata yeye ana nafasi ya kurekebisha kosa lake.
..jingine ni ugumu wa kuokoa majeruhi kunapotokea ajali. Barabara zetu zina changamoto kubwa sana ktk eneo hilo.
Kuna usafiri wa umma salama zaidi kuliko mwingine , namba moja ni ndege na meli, namba mbili ni treni, namba tatu na WA mwisho ni magari.Inasikitisha sana lakini hakuna usafiri uliosalama ajali inapotokea.
😀😀Sasa si ameenda NJIA ya mwenzake kwanini wasikutane uso Kwa uso?hayo mambo ya NJIA mbili kwenda NJIA mbili kurudi hapa kwetu Bado lazma tujifunze kuvumilia foleniHivi hiyo taarifa umeisikiliza na kuielewa kweli?
Kwanini dereva aki overtake akutane na gari uso kwa uso?
Dereva anakutana na gari uso kwa uso wakati wa ku-overtake kwa sababu ya kukadiria vibaya kasi na umbali wa gari linalokuja mbele yake, ambapo hushindwa kumaliza mchakato huo kabla ya njia kufungana. Hatari hii huongezeka zaidi anapojaribu kupita magari kwenye maeneo yenye kona kali, miinuko, au upofu wa macho (blind spots) ambapo hawezi kuona mbali, au anapovunja sheria kwa kupuuza mistari ya njano inayomkataza kupita.
Sababu nyingine inayochangia ni gari kukosa nguvu au kasi ya kutosha (poor acceleration) ili kukamilisha ujanja huo haraka, hasa likiwa na mzigo mzito, au pale dereva anapofanya "chain overtaking" kwa kufuata gari jingine upande wa kulia bila yeye wenyewe kukagua usalama wa njia. Hali hizi zote, zikiambatana na ukaidi au papara, humfanya dereva ajikute kwenye njia ya gari lingine bila nafasi ya kukwepa, na kusababisha ajali mbaya ya uso kwa uso.
Zungumzia kesi hii ya leo.kosa la nani
Wewe haupo kwenye hao waliopo hatarini, au wewe ni mama wa nyumbani?endeeleni kutetea ujinga na watawamaliza sana.
Ukweli usemwe hauwezi kuovatake magari zaidi Ya Moja .ovatake pale unapoona mbele ni salama ndivyo mwalimu wangu alivyonifundisha.sasa kama unaona kutoka iringa mpaka dar ni mbali unawahi una haraka.l kinachofatia Ndo hicho RIP
Kumbe bado kosa ni la serikali kwenye mtaala wa kuwafundisha watu udereva hawajaweka na SoMo la KUWAFUNZA KUVUMILIA FOLENI hivyo dereva hana kosa kosa ni la serikalikuvumilia foleni
Sawa noted✍️..kungekuwa na njia mbili kuelekea upande mmoja kungekuwa na njia ya wanaoendesha kwa kasi, na wanaoendesha polepole. Na katika utaratibu huo, malori yangetembea ktk njia yake bila kuchanganyikana na magari ya abiria.
Wekezeni kwenye miundombinuunaona sasa na hapo ndipo shida ilipo, linapokuja swala la usalama hakupaswi kuzungumzika kwani it costs life bali inapaswa kuwa ni amri ambayo kila dereva ni lazima afwate, ubovu wa br siyo chanzo kikuu cha ajali tanzagiza, chanzo kikuu ni low iq, kiburi pmj na umimi, sehemu kubwa ya madereva hawazijui sheria ya br. let alone hata kuzifwata na kwa kuwa mna kiburi ni swala la muda kabla kila mtu hajafikiwa pia na hawa ma-low iq drivers br. siku umekaa kijiweni unapata moja baridi lori la mchanga linaacha njia linazoa kila kitu na kila mtu wote tutaangamia sababu ya kiburi na jeuri ...
Kumbe bado kosa ni la serikali kwenye mtaala wa kuwafundisha watu udereva hawajaweka na SoMo la KUWAFUNZA KUVUMILIA FOLENI hivyo dereva hana kosa kosa ni la serikali
[/QUOTE
AJALI KWA ASILIMIA MIA MOJA ,NI MIUNDOBINU MIBOVU + UZEMBE WA MADEREVA