NACKO
JF-Expert Member
- Oct 27, 2022
- 1,762
- 3,435
shukran sana kwa ushauri,Una watoto?
Unawaacha chini ya nani
Una Mali?
Zitaendelezwa na kusimamiwa na nani
Zaidi sana matendo yako
Na mengineyo
shukran sana kwa ushauri,Una watoto?
Unawaacha chini ya nani
Una Mali?
Zitaendelezwa na kusimamiwa na nani
Zaidi sana matendo yako
Na mengineyo
"ajali"Chivayo alipata ajari ya bajaji?
Na madereva hawataki kukatwa point kwa kuendesha kizembeInasikitisha sana, masikini wanakufa vifo vibaya sana kwa sababu hawawezi kupanda ndege au SGR.
Bro jengeni barabara acheni longo longo hayo mengine yanazungumzikanini kitafanyaika sasa? serikali wakitaka kujaribu kuzipuguza kwa kuwabana madereva kwamba warudi shuleni wanagoma na watanzagiza wanawasapoti maderava against askari br. wengine wakishikwa wanakataa wanaanza kuwashambilia askari kwa mangumi kwamba wao ni "madaktari bingwa" na hawapswi kuguswa na "form 4 failure" i.e police.
ni ngumu sana, dereva wa basi wa tanzagita analalamika kwamba akitoka dar-kgm leseni yake itakuwa imeshajaa points hivyo ni lazima serikali wawarudishie points zao na anatetewa na watanzagiza mpaka siku unaenda zako likizo na familia yako unaendesha kwa kufwata sheria basi au lori inaovertake na kukandamiza na kuua familia nzima halafu tunarudi hapa kuuliza maswali magumu tena ...
Kuna hali ya kusitasita huwa inakupata kabla ya kukutana na janga kama hili. Kama ni safari unajikuta mzito kwenda unajisikia kuahirisha lakini unajikuta unaenda tu.Mi Kuna muda najiuliza wenzetu wanaopata hizi ajali Anajua kweli Leo ndio Naenda kufa?
Hata Kwa hisia?
Watu tumejaa mipango mingi,lakini kesho yetu hatuijui
Ukisikiliza maelezo ya mashuhuda lawama zote kwa dereva wa lori kuingia upande usio wake, sasa basi kwa maana hiyoajali nyingi kwa nchi kama zetu, miundo mbinu, uzembe na rushwa ni sababu kuu za ajali,
hivyo kwa nchi zilizoweka mkazo kwenye hayo mambo, wana afadhari sana kuliko sisi,...
Mungu kashakupangia siku yako ya kufa😁Kuna hali ya kusitasita huwa inakupata kabla ya kukutana na janga kama hili. Kama ni safari unajikuta mzito kwenda unajisikia kuahirisha lakini unajikuta unaenda tu.
Ukiona unataka kufanya kitu halafu unapata kigugumizi(niende/nisiende....nifanye/nisifanye) ACHA.
Hiyo serikali ingekuwa kweli ina nia ya kupunguza ajali ingejenga kwanza barabara za kueleweka sio huu uozo tunaouita barabara.
Halafu ibadili kikosi cha polisi wa usalama barabarani sio hawa wala rushwa tulionao sasahivi. Hapo ndo tutasema serikali ina nia ya kupunguza ajali. Yaani barabara zimejaa mashimo halafu unasema unapunguza ajali??.
Hawa wapumbavu hata uwajengee barabara za aina gani wataua tu. Kuna wajinga huku mjini barabara za njia nne akiona foleni anaingia upande wa pili,hawa wajinga ndio hao hao wanaendesha njia kuu.Ukisikiliza maelezo ya mashuhuda lawama zote kwa dereva wa lori kuingia upande usio wake, sasa basi kwa maana hiyo
Kwanza madereva wahojiwapewe elimu lakini pia licha ya ubovu wa bara bara, barabara nyingi tz ni ndogo mno yaani nyembamba. Isipokuwa zile za kuingia baaadhi ya miji
HakikaKwani SGR ni shilingi ngapi mkuu? Hata siku hiyo SGR ikipata balaa(tuombe viepushwe mbali) casualties watakuwa wengi sana. Na hata ndege zikipata ajali ni 0% chance. So, ajali sio kwa masikini tu.
Watu wanaokufa kwa ajali za barabarani ni zaidi 10,000 kila mwaka.Kwani SGR ni shilingi ngapi mkuu? Hata siku hiyo SGR ikipata balaa(tuombe viepushwe mbali) casualties watakuwa wengi sana. Na hata ndege zikipata ajali ni 0% chance. So, ajali sio kwa masikini tu.
75% ya ajali Tz ni uzembe wa madereva.chanzo kikuu cha ajali tanzagiza wala siyo ubovu wa br. bali ni madereva ambao hawaelewi/hawataki kuheshimu sheria za br. aidha hawazijui au wanazipuuzia la pili kiburi na ujeuri na umimi kila mtu mjuaji akisimamishwa anarusha
Hayo ni maneno ya watu wanaopenda kulaumu tu kila kitu. Ukiacha bei kwani hio SGR Iinaenda kila mahali?Kwani SGR ni shilingi ngapi mkuu? Hata siku hiyo SGR ikipata balaa(tuombe viepushwe mbali) casualties watakuwa wengi sana. Na hata ndege zikipata ajali ni 0% chance. So, ajali sio kwa masikini tu.
75% ni miondombinu mibovu sana ya barabara.75% ya ajali Tz ni uzembe wa madereva.
Sawa. Nenda karuke ghorofani sasa hivi halafu useme Mungu kakupangia.Mungu kashakupangia siku yako ya kufa😁
Kuna mama amewahi kupitia hii hali.anasema nataka niende kwenye harusi ya mtoto wa mdogo wangu ila moyo wangu hauna furaha,yani natamani nisiende ila nahofu watajiskia vibaya nsipohudhuria.akafosi kwenda.usiku wa tukio ghafla akadondoka akafa katikati ya shereheKuna hali ya kusitasita huwa inakupata kabla ya kukutana na janga kama hili. Kama ni safari unajikuta mzito kwenda unajisikia kuahirisha lakini unajikuta unaenda tu.
Ukiona unataka kufanya kitu halafu unapata kigugumizi(niende/nisiende....nifanye/nisifanye) ACHA.
Bro jengeni barabara acheni longo longo hayo mengine yanazungumzika
Hakuna SGR kwenda Mbeya,Kwani SGR ni shilingi ngapi mkuu? Hata siku hiyo SGR ikipata balaa(tuombe viepushwe mbali) casualties watakuwa wengi sana. Na hata ndege zikipata ajali ni 0% chance. So, ajali sio kwa masikini tu.
Inatokea watu wengi sana hii.Kuna mama amewahi kupitia hii hali.anasema nataka niende kwenye harusi ya mtoto wa mdogo wangu ila moyo wangu hauna furaha,yani natamani nisiende ila nahofu watajiskia vibaya nsipohudhuria.akafosi kwenda.usiku wa tukio ghafla akadondoka akafa katikati ya sherehe