Simba 1-0 Prisons | Ligi kuu bara | Benjamin Mkapa

Simba 1-0 Prisons | Ligi kuu bara | Benjamin Mkapa

Pole sana naona refa kakupoka kicheko chako Leo😂

Nyie ndo mnaongoza Kwa michongo, ohoo mkubwa ni mkubwa tu!!

Ni jambo la kheri Best.

Sisi tuko vizuri ila wanazidi kukamia tu.
Yaani kanidhulumu sana aisee. 😆

Haya ni yenu lakini soka linachezwa sehemu ya wazi kabisa. Vyovyote iwavyo Mpira wenu mbovu siku hizi.

Na leo mushukuru tu kwani point moja ilikuwa inawamendea. 🤣
 
Afadhili tupate Alana tatu hizo habari za michongo watajua wenyewe huko
Eti alana.
50 cent.gif
 
Huyu Mugalu naye aisee [emoji1787][emoji1787] Bora nicheke tu
Huyu jamaa ni kulogwa au ni bang.japo wachezaji wengi wa simba hawana utulivu kwa sasa wanapokua mbele ya goli ila mugalu kazidi sana kutokutulia.Viongozi wa simba wafanyie kazi saikolojia za wachezaji wao maana butua butua na kukosa utulivu kumekua kwingi sana.Kwa mpira huu uko shirikisho tutaenda kupata tabu sana.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Yaani kanidhulumu sana aisee. 😆

Haya ni yenu lakini soka linachezwa sehemu ya wazi kabisa. Vyovyote iwavyo Mpira wenu mbovu siku hizi.

Na leo mushukuru tu kwani point moja ilikuwa inawamendea. 🤣
Sawaaaa hakuna tatizo.

Umejifungia ukajitahidi kusaga kunguni wee lakini wapi!!😂😂

Tutaelewana tu nawasubiri mbeya kwanza nao kama kawaida refa ana goli letu la ushindi.
 
Back
Top Bottom