Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Ilikuwaje miaka yote hiyo hamkufa? 🤣🤣🤣Hata na sisi miaka ya nyuma tuliimbaga sana aka kawimbo huku mioyoni tunaumia. 🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilikuwaje miaka yote hiyo hamkufa? 🤣🤣🤣Hata na sisi miaka ya nyuma tuliimbaga sana aka kawimbo huku mioyoni tunaumia. 🤣
Yaani kanidhulumu sana aisee. 😆Pole sana naona refa kakupoka kicheko chako Leo😂
Nyie ndo mnaongoza Kwa michongo, ohoo mkubwa ni mkubwa tu!!
Ni jambo la kheri Best.
Sisi tuko vizuri ila wanazidi kukamia tu.
Mnafuatilia kumbe? 🤣Asec Memosa wanakuja tutaona vituko
Ndicho anacho weza hikoBarbra amealikwa kwenye fainali ya CAF huko Cameroon
Afadhili tupate Alana tatu hizo habari za michongo watajua wenyewe hukoHayapira umeisha
Hahahahaaa. Hata na nyie hamfi lakini cha moto mnakiona.Ilikuwaje miaka yote hiyo hamkufa? 🤣🤣🤣
Malipo ni hapa hapa kwa MkapaMnafuatilia kumbe? [emoji1787]
Andika hicho, sio hiko 🤣Ndicho anacho weza hiko
Eti alana.Afadhili tupate Alana tatu hizo habari za michongo watajua wenyewe huko
Ndio kacheze wewe na utopolo yako kama una uwezo huo tuoneAsec Memosa wanakuja tutaona vituko
ila mna moyoHata na sisi miaka ya nyuma tuliimbaga sana aka kawimbo huku mioyoni tunaumia. 🤣
View attachment 2106787
Aibu naona mimi dah kwamba waandishi ni wamaana sana pale tu tunaposhinda.Leo tumejitahidi waandishi hatujawakimbia. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyu jamaa ni kulogwa au ni bang.japo wachezaji wengi wa simba hawana utulivu kwa sasa wanapokua mbele ya goli ila mugalu kazidi sana kutokutulia.Viongozi wa simba wafanyie kazi saikolojia za wachezaji wao maana butua butua na kukosa utulivu kumekua kwingi sana.Kwa mpira huu uko shirikisho tutaenda kupata tabu sana.Huyu Mugalu naye aisee [emoji1787][emoji1787] Bora nicheke tu
Soon nyie pia mtakuwa nayo tu.ila mna moyo
Sawaaaa hakuna tatizo.Yaani kanidhulumu sana aisee. 😆
Haya ni yenu lakini soka linachezwa sehemu ya wazi kabisa. Vyovyote iwavyo Mpira wenu mbovu siku hizi.
Na leo mushukuru tu kwani point moja ilikuwa inawamendea. 🤣
Kwa forward zako zipi hizo? Mpaka mtengewe mpira na refa kwenye kumi na nane ndio mpate goliZingeongezwa zaidi timu yako ya Prisons ingefungwa goli la pili