Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,791
- 23,561
Kumekucha, mpira upo home Zenji leo...Kila la kheri Simba SC Cc Angel Nylon Determinantor jmushi1 Kalpana min -me OKW BOBAN SUNZU cocastic Jadda
🫡🙏🙏🙏Kila la kheri Simba SC Cc Angel Nylon Determinantor jmushi1 Kalpana min -me OKW BOBAN SUNZU cocastic Jadda
Utakufa Vibaya WeweNimesikitika sana
Lolote liwakute
Ikiwa hivi hatubebi, toa hiyo moja ya berkPrediction Simba 3-RS Berkane 1.
Eeh.Kila la heri kwa Mnyama Mkubwa Mwituni…Hii tunabeba 🦁🦁🦁🦁🦁
Nakazia.Nasubiri pira mwana ukome, lile pira sio mchezo wakuu, hadi mimi nilitetemeka.
Tukimaliza hapa Berkane wakishabeba kombe lao turudi kuzungumza kama nchi na sisi tutafika lini level ile?
Usijifiche tu mtani🤣Eeh.
Saa kumi ifike hebu.😀
Ntakuwepo Mtani.Usijifiche tu mtani🤣
Niko poa sana!! Jiandae kutupokea kwenye parade la kihistoria kesho🤣🤣tutapita na hapo kwenu jangwaniNtakuwepo Mtani.
I hope uko poa pia? Sema ndo ule kabisa Sa. 🤪