Simba 1-1 RS Berkane| Agg: Simba 1-3 RS Berkane | RS Berkane Bingwa CAFCC 2024/205

Simba 1-1 RS Berkane| Agg: Simba 1-3 RS Berkane | RS Berkane Bingwa CAFCC 2024/205

Ni kufa au kupona.

Ni fainali ya mkondo wa pili katika kombe la shirikisho barani Afrika.

Simba SC Vs RS Berkane, mchezo wa kwanza Simba alifungwa 2-0.

Leo atakuwa na nafasi ya kujiuliza katika mchezo wa mkondo wa pili.

Huku Mpanzu, kule Kibu D, pale Jean Charles Ahoua. RS Berkane wajishikilie show itakuwa nzito.

Mwana Simba uliopo Nakuru, Mbarara, Ndola, Bukavu, Mpanda, na kwingineko tembea kifua mbele, hii tunabeba.

Live updates zitakujia hapa katika uzi huu, mchezo utakuwa mubashara Azam Sports 1HD, Super Sports 227HD, Bein Sports pamoja na Canal Sports.

Mchezo no saa 10:00 jioni kwa masaa ya Afrika Mashariki.

Kila la heri kwa wawakilishi wa Tanzania katika mchezo wa Fainali.

Simba Nguvu Moja!!
Ubaya ubwelaa Simba 🦁 kila lakheli chama langu
 
Japo Mimi nimeacha kufuatilia na kuangalia mpira ila Leo natamani Makolo yapigwe
 
Ntakuwepo Mtani.

I hope uko poa pia? Sema ndo ule kabisa Sa. 🤪
Naona leo upo active sana mtani. Unataka kuona namna gani Hussein Mwinyi anakabidhi kombe kwa Mohamed Hussein
 
Kumekucha, mpira upo home Zenji leo...
Jana sijaota 🤣🤣🤣🤣🤣 kwa hio sijui nn kinaendelea😅
1748169068188.jpg
 
Back
Top Bottom