Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
This is SIMBA💢💢💢💢💢📌🔨Nyuma mwiko mle chakula mapema na mshibe kabisa kabla ya mechi View attachment 3345108
This is SIMBA💢💢💢💢💢📌🔨Nyuma mwiko mle chakula mapema na mshibe kabisa kabla ya mechi View attachment 3345108
Hahahaha😂😂😂😂
Ngoja tuone Mtani.HII TUNABEBA💪💪💪💃💃
😂😂
Mtani maneno haya. 🤣🤣Yanga alitwaa kombe la Muungano Zanzibar.
Simba anatwaa kombe la Cafcc Zanzibar
Tofauti ni kwamba Yanga hakufanya parade alipowasili Dar😂😂😃🤣😆😄😀😎
Mpwa, kwa lugha ya Mtaani hapa tunasema umewachana 🤣Kila la kheri ila Mnyama ana kazi ngumu sana ,goli 3 kuwafunga berkane ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano.
Tunatunza receipt.Simba akishinda nipigwe ban la mwaka
Kamati ikiongozwa na ndugu Mshana Jr
Kwa lugha nyingine mmeteseka mnooo.Kila la heri timu yangu pendwa RS BERKANE, hakika tulihama sana timu
Insha-AllahHii imeisha. Tujiandae tu kwa parade ya ubingwa, kesho Zanzibar, halafu jioni Dar
AmenNa iwe
Hii ni kama siyo sisi. Vizee vyetu ni vifupi. Halafu font-type ya m-bet siyo ya kwetu, ni ya uto