The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 8,698
- 17,114
Mbwa wewe ndio maana uzi wako umetupwa kumbe UtopoloRS BERKANE ANABEBA UBINGWA
Mbwa wewe ndio maana uzi wako umetupwa kumbe UtopoloRS BERKANE ANABEBA UBINGWA
Teh teh 😃 😃 😃 kazi kweli kweli...Je ni sahihi huku tulipofikia?
Mtu kiingilio chake kavaa jezi yake hajakubugudhi kwa namna yoyote ile kaja kuangalia mpira wewe unamfanyia hivi?
ni ushamba tu huu mkuu.Je ni sahihi huku tulipofikia?
Mtu kiingilio chake kavaa jezi yake hajakubugudhi kwa namna yoyote ile kaja kuangalia mpira wewe unamfanyia hivi?
Usimfundishe au usilazimishe mtu apende kitu asichokipendaMbwa wewe ndio maana uzi wako umetupwa kumbe Utopolo
A good moveJe ni sahihi huku tulipofikia?
Mtu kiingilio chake kavaa jezi yake hajakubugudhi kwa namna yoyote ile kaja kuangalia mpira wewe unamfanyia hivi?
Sio lazima Mbwa na wewe maana unavamia visivyo kuhusuUsimfundishe au usilazimishe mtu apende kitu asichokipenda
Ushabiki wa kingese huu! 🚮🚮🚮Je ni sahihi huku tulipofikia?
Mtu kiingilio chake kavaa jezi yake hajakubugudhi kwa namna yoyote ile kaja kuangalia mpira wewe unamfanyia hivi?
We mleta uzi mbona hauweki updatesNi kufa au kupona.
Ni fainali ya mkondo wa pili katika kombe la shirikisho barani Afrika.
Simba SC Vs RS Berkane, mchezo wa kwanza Simba alifungwa 2-0.
Leo atakuwa na nafasi ya kujiuliza katika mchezo wa mkondo wa pili.
Huku Mpanzu, kule Kibu D, pale Jean Charles Ahoua. RS Berkane wajishikilie show itakuwa nzito.
Mwana Simba uliopo Nakuru, Mbarara, Ndola, Bukavu, Mpanda, na kwingineko tembea kifua mbele, hii tunabeba.
Live updates zitakujia hapa katika uzi huu, mchezo utakuwa mubashara Azam Sports 1HD, Super Sports 227HD, Bein Sports pamoja na Canal Sports.
Mchezo no saa 10:00 jioni kwa masaa ya Afrika Mashariki.
Kila la heri kwa wawakilishi wa Tanzania katika mchezo wa Fainali.
Simba Nguvu Moja!!
NBC league tunabebaSimba tusipobeba hili kombe, basi huu mwaka hatutabeba kombe lolote lile.
Ushamba tuJe ni sahihi huku tulipofikia?
Mtu kiingilio chake kavaa jezi yake hajakubugudhi kwa namna yoyote ile kaja kuangalia mpira wewe unamfanyia hivi?