Simba 1-1 RS Berkane| Agg: Simba 1-3 RS Berkane | RS Berkane Bingwa CAFCC 2024/205

Simba 1-1 RS Berkane| Agg: Simba 1-3 RS Berkane | RS Berkane Bingwa CAFCC 2024/205

😂😂😂 Rs Berkane watawapalata hawa wazee wa mafuta mpk Taif tudhalilike
 
Huwezi kuchukua kombe ukimtegemea mchezaji kama KIbu Denis.
 
MASHABIKI,WACHEZAJI,MAKOCHA,NA WENYE TIMU YA BERKANE FC WANAYONIA YA KUHABISHA TIMU YA SIMBA, MASHIBIKI NA NCHI NZIMA KWA UJUMLA HAPO ZANZIBAR
, JE SIMBA WATAFANYA NINI JUU YA HILO?
 
Shomar Kapombe na Shabalala wastaafu sasa Simba, iwe ndo game yao ya heshima ya mwisho hii.
 
huoni wingu limetanda mkuu?
Nilipo hakuna kabisa ila ni sawa maana Simba wangeidondosha ya maana kama game ingekuwa dar
Berkane wafanye wanavyojua Simba afe angalau goli 3
 
Hii si sawa
 

Attachments

  • %E2%9D%8C+%D8%B7%D8%B1%D8%AF+%D9%85%D8%B4%D8%AC%D8%B9+%D8%AA%D9%86%D8%B2%D8%A7%D9%86%D9%8A+%D9...mp4
    1.6 MB
Simba ya Ubingwa
1. Camara
2. Kapombe
3. Hussein
4. Karaboue
5. Malone
6. Ngoma
7. Mutale
8. Kagoma
9. Mukwala
10. Ahoua
11. Mpanzu
 
Mpira huwa unadunda ila si kwenye maji. Mashabiki wa Simba leo kipigo kinawahusu.
 
Mnyama Camara jamaa ni burdani tosha kumuangalia box to box midfielder yuko na madevu playmaker
 
Nipo na mashabiki wa Simba wanajipa matumaini hewa.
 
Hii picha nitaitumia sana leo...🤣
FB_IMG_17475424980449742.jpg
 
Back
Top Bottom