Subiri uone mbungi mwananguHuyu si wako mwanangu
Msije beba viti tu zimetumika kodi kununua vitiHii tunabeba
Weka picha ya nje nandani na bei.Ewe Mwanasimba hii isikupite
#Tunakodisha nyumba ya kujificha baada ya mechi
#Bei nafuu sana
N.B: MASK NI BURE
Fist half 2
Sec half 2
FT
Simba 4-0 Berkane
Baada ya kukabidhiwa ubingwa tutakua na tafrija karibuni sana utopolo vyuraz
Berkane BingwaaLeo ndiyo siku iliyosubiriwa na wanamichezo wote barani Africa na duniani kote kwa ujumla,ni siku ya mchezo wa Fainal ya Kombe la Shirikisho barani Afrika ambapo Simba SC ya Tanzania inawakaribisha RS Berkane ya nchini Morocco katika fainal ya mkondo wa pili mara baada ya ile za mkondo wa kwanza kumalizika kwa wenyeji Berkane kuibuka na ushindi mnono wa mabao mawili kwa bila. Uwanja utakuwa ni wa New Amaan Complex visiwani Z`bar muda wa saa 10kamili kwa saa za Africa Mashariki.
Je mnyama Simba atafanikiwa kupindua meza na kubeba kombe hili la pili kwa ukubwa barani Africa,au RS berkane watalinda ushindi wao na kutwaa kombe hili mara ya tatu?
Macho na masikio yote tuyaelekeze visiwani Zanzibar kushuhudia mtanange huu mkali na wa kukata na shoka
Kwa ambao hawatapata nafasi ya kwenda Z`bar au kuutazama mchezo huu ktk tv au kuusikiliza kwa njia ya radio basi muambatane nami kuwaletea updaes za mchezo huu.
Karibuni
Jibu hoja, wazuri wabovu. No reform no electionHampati kitu
halafu mukwara atakosa.Atasababisha penalty walau moja
Ni wabovu mkuuJibu hoja, wazuri wabovu. No reform no election
Ushakuwa mwaarabuEe Allaah Rabb wa Jibiriyl na Mikaaiyl na Israafiyl 🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲
Bado kidogo kujaa subiria 😂Waarabu Tume ijia ndoo yetu
Liko wapi, labda huko uliko mkurangahuoni wingu limetanda mkuu?
Mkojo mkojokaSimba ya Ubingwa
1. Camara
2. Kapombe
3. Hussein
4. Karaboue
5. Malone
6. Ngoma
7. Mutale
8. Kagoma
9. Mukwala
10. Ahoua
11. Mpanzu
Bado dakika 6, unayo nafasi ya kusema.Hampati kitu
Ndio mkuuBen Morrison yupo jukwaaani