Tuwabutue as usual! Poor 🦁Tupo hapa tuna wasuburia ligi kuu
lolote baya limkute mtani. Kilio kizito kinawahusu leo.Kila la heri mtani,
Nauza dawa ya kupunguza hasira baada ya mechi.
Ndo inaanzagem saangapi?
Sasa Yanga hapa kaingiaje mkuu😁Simba0-1Yanga
Safi sana wangevaa kawaidaJe ni sahihi huku tulipofikia?
Mtu kiingilio chake kavaa jezi yake hajakubugudhi kwa namna yoyote ile kaja kuangalia mpira wewe unamfanyia hivi?
We win thisNi kufa au kupona.
Ni fainali ya mkondo wa pili katika kombe la shirikisho barani Afrika.
Simba SC Vs RS Berkane, mchezo wa kwanza Simba alifungwa 2-0.
Leo atakuwa na nafasi ya kujiuliza katika mchezo wa mkondo wa pili.
Mchezo ni saa 10:00 jioni kwa masaa ya Afrika Mashariki.
Kila la heri kwa wawakilishi wa Tanzania katika mchezo wa Fainali.View attachment 3345244
================================================
😂😂😂😂Msije beba viti tu zimetumika kodi kununua viti
Jua ni kaliHii picha nitaitumia sana leo...🤣
View attachment 3345239