Holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 8,723
- 19,715
Ila SI vizur kombe linaletwa nyumbani kwenu alafu linabebwa Tena kueLekea MoroccoBerkane Bingwaa
Ila SI vizur kombe linaletwa nyumbani kwenu alafu linabebwa Tena kueLekea MoroccoBerkane Bingwaa
Vyura wanapenda maji.Mpira huwa unadunda ila si kwenye maji. Mashabiki wa Simba leo kipigo kinawahusu.
Ndio tambikoLeo na ngoma duhh!! 😁
Kupitia znzIla SI vizur kombe linaletwa nyumbani kwenu alafu linabebwa Tena kueLekea Morocco
Kokote kule hapa Tanzania mwarabu tunamkaza tuMuda huu kwa mkapa pako saafi na hapana shida kabisa. Timu zetu zimekuwa dhaifu hata kwenye maamuzi.
Kwa mkapa simba angeshinda,ila huko zenji sidhani.
Shida ni pale hata waliopo Kibaha, Mkuranga na Bagamoyo huamini wapo Dar🤣🤣😂Liko wapi, labda huko uliko mkuranga
Ishakula kwa 🦁🦁 kitambo sanaNdio tambiko
pole sana. Mimi nipo karibu kabisa na uwanja wa Taifa. Nikipanda boda ni buku tu. nikisema daladala au bajaji ni jero.Liko wapi, labda huko uliko mkuranga
Mkuu Pdidy kama umebeti subiri kanji akusangazeBerkane bingwaaa
Tupo hapa tuna wasuburia ligi kuuIshakula kwa 🦁🦁 kitambo sana