Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Una ndoto kubwa utafika mbali kijanaFist half 2
Sec half 2
FT
Simba 4-0 Berkane
Baada ya kukabidhiwa ubingwa tutakua na tafrija karibuni sana utopolo vyuraz
Una ndoto kubwa utafika mbali kijanaFist half 2
Sec half 2
FT
Simba 4-0 Berkane
Baada ya kukabidhiwa ubingwa tutakua na tafrija karibuni sana utopolo vyuraz
Atasababisha penalty walau mojaMutale anacheza namba 9. Matumaini ya kubeba kombe yanazidi kufifia.
Sema kaweka irizi bhna 😂Usikariri
Ana swap na mukwala, kule mbele ameweka wachezaji watatu wanaoweza kubadilishana nafasi
Simba mnakufaUto semeni kabisa berkane wabovu au wazuri? Bado dakika 15 kipute kianze. No reform no election 💪
Sema Simba 0 Berkane 4Fist half 2
Sec half 2
FT
Simba 4-0 Berkane
Baada ya kukabidhiwa ubingwa tutakua na tafrija karibuni sana utopolo vyuraz
Wasipotezee Hawa washenziOya kausha, Kuna jambo la Gwajima Kwa Sasa tuko nalo.
Masuala ya Simba na Yangaz yamechangia sana kutuletea umasikin.
Ndio 227Wakuu DStv wanaonesha hii game
Watuache tumelizika na maisha yetuWasipotezee Hawa washenzi
Wanetu ikifika saa 12 jioni tunatafuta risiti 😃 😄 😄Nyuma mwiko mle chakula mapema na mshibe kabisa kabla ya mechi View attachment 3345108
NdioWakuu DStv wanaonesha hii game
Huyu si wako mwananguMwali wetu katua ground tayari
Hampati kituUto semeni kabisa berkane wabovu au wazuri? Bado dakika 15 kipute kianze. No reform no election 💪