tena zile ngoma za kizaramo.Kuna timu fulani leo tena inaende kupigwa kama ngoma.
Mzee rage hakukosea kuwaita mbumbumbuJe ni sahihi huku tulipofikia?
Mtu kiingilio chake kavaa jezi yake hajakubugudhi kwa namna yoyote ile kaja kuangalia mpira wewe unamfanyia hivi?
Nyuma mwiko bwanamashabiki wa simba tunaamini tunashinda ila kila tukiwatazama hawa Berkane hapa uwanjani matumaini yanakufa.
Tulia Basi .timu berkane timu berkane unatuchosha.Timu Berkanee 🏆🏆🏆
SIMBA WANAMATUMAINI YA KUSHINDA!!Ni kufa au kupona.
Ni fainali ya mkondo wa pili katika kombe la shirikisho barani Afrika.
Simba SC Vs RS Berkane, mchezo wa kwanza Simba alifungwa 2-0.
Leo atakuwa na nafasi ya kujiuliza katika mchezo wa mkondo wa pili.
Huku Mpanzu, kule Kibu D, pale Jean Charles Ahoua. RS Berkane wajishikilie show itakuwa nzito.
Mwana Simba uliopo Nakuru, Mbarara, Ndola, Bukavu, Mpanda, na kwingineko tembea kifua mbele, hii tunabeba.
Live updates zitakujia hapa katika uzi huu, mchezo utakuwa mubashara Azam Sports 1HD, Super Sports 227HD, Bein Sports pamoja na Canal Sports.
Mchezo no saa 10:00 jioni kwa masaa ya Afrika Mashariki.
Kila la heri kwa wawakilishi wa Tanzania katika mchezo wa Fainali.
Simba Nguvu Moja!!
Si sahihi kwa kiasi fulani. Tatizo la hawa mabwana ni uvaaji. Kwenye shughuli yoyote kubwa huwa kuna dress codeJe ni sahihi huku tulipofikia?
Mtu kiingilio chake kavaa jezi yake hajakubugudhi kwa namna yoyote ile kaja kuangalia mpira wewe unamfanyia hivi?
Quality ya wachezaji ni mbovu.Hapo ni kufa tu hakuna kupona Simba walishindwa kutumia uwanja wa ugenini?