Simba 3-1 ASEC Mimosas | CAF Confederation Cup | Uwanja wa Mkapa

Asec hawana kipa, wamtoe haraka sana huyo kipa kwani wakiendelea naye kwenye mashindano haya ataiua kabisa timu.

Mara kwa mara ameonekana akiweweseka golini, hajiamini na pia ni mwenye papara sana. Kimsingi yeye ndiye amechangia kuiua timu yao leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…