Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Ni kweli tumepoteza nafasi nyingi sana, ilitakiwa tufunge goli zaidi ya tano.Japo tumeshinda ila mpira wa Simba ni mdogo sana, ushindi huu wa papatu papatu hauwezi kutufikisha mbali. Niko tayari kupigwa mawe