Simba 3-1 ASEC Mimosas | CAF Confederation Cup | Uwanja wa Mkapa

Simba 3-1 ASEC Mimosas | CAF Confederation Cup | Uwanja wa Mkapa

Hapa mpira bado kabisaaaa...hawa jamaa wazuri sana wakiwa nyumbani Simba atachezea kichapo cha si chini ya goli nne ugenini ... Comment hii ipewe ulinzi.. Nakazia...
Pole sana.
Screenshot_2022-02-13-18-05-31-272_com.whatsapp.jpg
 
Asec hawana kipa, wamtoe haraka sana huyo kipa kwani wakiendelea naye kwenye mashindano haya ataiua kabisa timu.

Mara kwa mara ameonekana akiweweseka golini, hajiamini na pia ni mwenye papara sana. Kimsingi yeye ndiye amechangia kuiua timu yao leo.
 
Back
Top Bottom