ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Kipute kimeanza Hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba ipigwe tuDk 1
Mchezo umeanza.
Timu zimeshaingia uwanjani.
Muda si mrefu wachezaji watatoka kwenye vyumba kwa ajili ya kuanza kwa mchezo huu.
Timu hizi zipo Kundi D katika michuano hii iliyopo chini ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF)
Kundi D
1. RS Berkane (Morocco)
2. Simba (Tanzania)
3. ASEC Mimosas (Ivory Coast)
4. USGN (Niger)
Timu zote zinapasha misuli uwanjani
Mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika utakaopigwa leo Jumapili 13, 02, 2022 mgeni rasmi atakuwa ni Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Azzan Zungu. Mashabiki wanaendelea kuingia uwanjani.
View attachment 2118426
Channel gani wanarusha live hii mechi?Quality Ya Live Match Leo ni Poor Sanaa
Azam Wamelazimishwa?
Angalia kwa dstv mkuuQuality Ya Live Match Leo ni Poor Sanaa
Azam Wamelazimishwa?
Dstv variety 2Channel gani wanarusha live hii mechi?
Muwage wazalendo kwa timu yenu ya taifa.Simba ipigwe tu
Hawa DSTV wao wanatumia camera gani?Angalia kwa dstv mkuu
kama sinaAngalia kwa dstv mkuu