Simba 3-1 ASEC Mimosas | CAF Confederation Cup | Uwanja wa Mkapa

Simba 3-1 ASEC Mimosas | CAF Confederation Cup | Uwanja wa Mkapa

Asec hawana kipa, wamtoe haraka sana huyo kipa kwani wakiendelea naye kwenye mashindano haya ataiua kabisa timu.

Mara kwa mara ameonekana akiweweseka golini, hajiamini na pia ni mwenye papara sana. Kimsingi yeye ndiye amechangia kuiua timu yao leo.
Wamweke nani?
 
Sasa CAF wenyewe wamemnyooshea mikono Sakho, we Chura unapatia wapi hiyo Confidence ya kuwa underestimate uwezo wa wachezaji wa SIMBA?

1644766966558.png
 
Huyu Inonga kumbe mtori tu, anaruhusije jamaa apige mpira pale mpaka apate goli?

Ofcuz hapa jamaa kaonyesha kuzingua sana na sio mtu wa maamuzi magumu! Kwa kawaida beki hatakiwi kuogopa kadi nyukundu au njano ila pale alicbokihofia ni kadi akaruhusu goli!! All in all God is good tumeibuka na ushindi wa matumaini
 
Nguvu za soda hizi ndizo zikupotezee muda kwa mihemuko yote hiyo ilihali hata hatua ya robo fainali tu hujafika?

MAKOLO MAKOLO MAKOLO nimekuita mara 3 ustuke usiendelee kuwa MBUMBUMBU....[emoji1]

Akili za utopolo ni za hovyo tu!
Hiki ulichoandika kinadhihirisha wazi, tena wewe utakuwa taahira…!!
 
Nguvu za soda hizi ndizo zikupotezee muda kwa mihemuko yote hiyo ilihali hata hatua ya robo fainali tu hujafika?

MAKOLO MAKOLO MAKOLO nimekuita mara 3 ustuke usiendelee kuwa MBUMBUMBU....[emoji1]
Nyie si mmezoea mech za kimataifa mnagongwa mbele na nyuma !! Maana hapa nyumban huwa mnabebwabebwa tu
 
Asec hawana kipa, wamtoe haraka sana huyo kipa kwani wakiendelea naye kwenye mashindano haya ataiua kabisa timu.

Mara kwa mara ameonekana akiweweseka golini, hajiamini na pia ni mwenye papara sana. Kimsingi yeye ndiye amechangia kuiua timu yao leo.

Wewe utakuwa yanga? Sasa goli kama lile la sakho Angefanyaje? Goli la Banda pia angefanyaje? Penalty unazijua wachache sana wanagusa
 
Back
Top Bottom